pmKwa yeyote mwenye moderm kati ya hizo tuwasiliane please. bei maelewano nipo dar nipm kama unayo. tufanye biashara
Hiyo ni Model gani mkuu??Brand new modem ya 4G(inafanya kazi na mitandao yote) bei elfu 50 tu. Nicheck 0783962460
dlink dw222Hiyo ni Model gani mkuu??
Mkuu una uhakika hiyo model inakamata band zote za 4G za mitandao ya Tanzania? If yes basi nitakutafuta ndugu.dlink dw222
Ndio nna uhakika; Tanzania bands za 4g ni hzi; 800-Zantel&Tigo,1800-TTCL na Vodacom. Modem yangu ina bands zote hizo; infact nimeshaijaribu kwenye mitandao hiyo yote inapiga kazi vizuriMkuu una uhakika hiyo model inakamata band zote za 4G za mitandao ya Tanzania? If yes basi nitakutafuta ndugu.
Nitakutafuta kaka maana uwoga wangu kununua Modem ulikuwa kwenye bands.Angalia hapa
SawaNitakutafuta kaka maana uwoga wangu kununua Modem ulikuwa kwenye bands.
Kwa yeyote mwenye moderm kati ya hizo tuwasiliane please. bei maelewano nipo dar nipm kama unayo. tufanye biashara