Habari ya asubuhi wanaJF...
Nahitaji simu janja (Smartphone) iwe mpya, refurbished au imetumika na ipo katika hali nzuri, aina ya simu ninayo hitaji ni kati ya hizi zifuatazo
Sony Xperia
Z3+
Z5...
Ni maduka ya kimataifa. Hata Tanzania yanaweza kuanzishwa.
Ni maduka yasiyofungwa iwe mchana iwe usiku, iwe jumapili iwe sikukuu. Yako wazi 24/7
Yanaitwa Seven Eleven kwa sababu mwanzoni maduka...
jinsi ya kufanya unanunua nailoni gumu yapo kariakoo
unaliweka kwa kulichimbia au kulitafutia uzio kama mawe au matofali pembeni kisha unajaza matope au maji
kisha unaweka kambale wako amabao...
Habari zenu wanajamvi...!!!Ninauza maharage ya njano mapya ya kutoka karagwe kwa jumla kwa sh 1600 tu kwa kilo moja.
Napatikana jijini mwanza na kwa wateja wote waliopo mwanza mjini na kwenye...
Laptop Repear ANY BRAND! ANY PRONLEM!
-TUNAREKEBISHA LAPTOP AINA ZOTE NA KWA MATATIZO YOYOTE
-TUNAPIGA WINDOW AINA ZOTE (WINDOW VISTA/7/8/8.1/10)
-TUNAWEKA GAME ZOTE
-TUNAWEKA PROGRAM ZOTE ZA...
Habari .
Ninatafuta gari aina ya toyota vitza ama toyota duet bajeti yangu ni milioni 4,maongezi yapo kama gari ikinivutia.
Kwa mwenye gari nipm ama weka contact ntakupigia
habari wakuu ningependa jua sehem wanapopatikana mafundi wazuri wa fridges na contacts if possible nina friji lina hitilafu
location nipo tabata barakuda
Ni Chuo kilichopo Dar es Salaam Tanzania
Kiko registered na NACTE
Kimeanza mwaka jana na kina mazingira mazuri ,vifaa vizuri na vya kisasa, maji ,umeme, na walimu wa kutosha wa kuhudumia...
Wana JF,
Habari ya leo.
Kwa wale mnaomiliki magari ya ulaya haswa ya kijerumani mnaelewa ugumu wa kupata spair Tanzania.
Nimeamua kuwaondolea adha hii kwa kuanzisha huduma maalumu ya manunuzi ya...
Je umekwama na unataka Msaada wa fedha Kwa haraka?
Je unataka kukopa fedha Kwa riba ndogo?
Je unataka kupanua Biashara yako ndogo na huna mtaji?
Basi sasa umepata jibu la maswali yako hayo...