Nauza maharage ya njano kwa jumla kg 1 = 1600

May five

Member
Jun 16, 2017
20
8
Habari zenu wanajamvi...!!!Ninauza maharage ya njano mapya ya kutoka karagwe kwa jumla kwa sh 1600 tu kwa kilo moja.

Napatikana jijini mwanza na kwa wateja wote waliopo mwanza mjini na kwenye vitongoji vyake wataletewa mpaka mlangoni kwao na kwa wale wateja mliopo mikoani ninatuma pia...!!!

Kwa yoyote atakayehitaji ani pm tufanye biashara mzigo ninao tani za kutosha tu.

Karibuni sana.
Nawasilisha.
 
Mkuu wewe ni muongo sana, mfano mimi ningekuwa Mwanza nikaihitaji kilo moja 1,600 gharama za kuniletea nilipo sinikubwa kuliko hiyo 1,600?
 
Mbona kama nakufahamu HV
 
Mkuu wewe ni muongo sana, mfano mimi ningekuwa Mwanza nikaihitaji kilo moja 1,600 gharama za kuniletea nilipo sinikubwa kuliko hiyo 1,600?
Hii ni biashara mkuu,usimuite mtu muongo wakati ni ajira yake,kama wewe umeajiliwa ni shauri yako,mm natafta ridhiki yangu kwa jasho langu na sjakuita ucoment...!!!usiwe na tabia za kingese ngese tu naza kikocho kocho kwenye biashara za watu
 
Habari zenu wanajamvi...!!!Ninauza maharage ya njano mapya ya kutoka karagwe kwa jumla kwa sh 1600 tu kwa kilo moja.

Napatikana jijini mwanza na kwa wateja wote waliopo mwanza mjini na kwenye vitongoji vyake wataletewa mpaka mlangoni kwao na kwa wale wateja mliopo mikoani ninatuma pia...!!!

Kwa yoyote atakayehitaji ani pm tufanye biashara mzigo ninao tani za kutosha tu.

Karibuni sana.
Nawasilisha.
Tupia namba mkuu kama unaleta had mahal nlipo ntachukua kg 100 npo pande za nyegez
 
Habari zenu wanajamvi...!!!Ninauza maharage ya njano mapya ya kutoka karagwe kwa jumla kwa sh 1600 tu kwa kilo moja.

Napatikana jijini mwanza na kwa wateja wote waliopo mwanza mjini na kwenye vitongoji vyake wataletewa mpaka mlangoni kwao na kwa wale wateja mliopo mikoani ninatuma pia...!!!

Kwa yoyote atakayehitaji ani pm tufanye biashara mzigo ninao tani za kutosha tu.

Karibuni sana.
Nawasilisha.
Ofc ipo maeneo gan ili nije nione sample maana maharage ya njano yana sample nyng sana
 
Back
Top Bottom