FUNDI FRIJI ANAHITAJIKA

FUNDI FRIJI ANAHITAJIKA

alexis jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2014
Posts
391
Reaction score
343
habari wakuu ningependa jua sehem wanapopatikana mafundi wazuri wa fridges na contacts if possible nina friji lina hitilafu
location nipo tabata barakuda
 
Upo mkoa gani?

Huoni tangazo lako lilivyo na mapungufu?
 
Dar piga namba hizo Pm gharama ya usafiri ni kwako yaan utalipa after fundi kufika na kutengeneza hiyo hitilafu
 
Back
Top Bottom