Jiunge na Msongola Health Training Institute

Tz_one

JF-Expert Member
Jun 6, 2017
2,916
7,666
Ni Chuo kilichopo Dar es Salaam Tanzania
Kiko registered na NACTE
a5e1014508b3135ad9399f8f877e8c9b.jpg


Kimeanza mwaka jana na kina mazingira mazuri ,vifaa vizuri na vya kisasa, maji ,umeme, na walimu wa kutosha wa kuhudumia wanafuzi wote waliopo chuoni kuhakikisha wanapata elimu nzuri na sahihi ,kwa ajili ya kuhudumia Wa Tanzania wote ,kwa kupitia Sekta ya Afya.

Mazingira na majengo yanaonekana vizuri hapa chini
232f72f8a32e66050078489d5278e001.jpg
 
Picha zaidi ntatuma baadae na information jinsi ya kujisajili na udhairi
 
Kozi zinazotolewa chuoni ni zifuatazo
Diploma in Clinical medicine
Certificate in Clinical medicine
Basic certificate in Community health

Chuo kimeanza kudhaili wanafunzi wa muhula wa masomo utakaoanza mwezi september 2017.

Kama mnavyofahamu ..wanafunzi hawapangiwi tena vyuo na NACTE au TCU
Hivyo chuo kinakaribisha wanafunzi wote waliomaliza kidato cha 4 nne na cha 6 sita..kutuma naombi kwa njia zifuatazo

1.Kufika chuoni moja kwa moja wakiwa na vyeti vyao vya NECTA vya kidato cha nne au cha sita au vyote viwili
2.Kutuma maombi kwa barua peoe wakiambatanisha vyeti vyao vya kufuzu kidato cha nne au cha sita au vyote viwili

Njia za mawasiliano
Barua pepe :msongolainstitute@gmail.com

Simu 0785911971 na 0759021432

Tazama tovuti ya chuo www.msongolainstitute.ac.tz
 
Course ni
Community health worker
Clinical officer
Assistant clinical officer
 
Ivi Kipo wap

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app

Kiko mbondole msongola

Ukitoka mbagala .. unaenda mbande kwa bus ... then unafika msongola hadi mbondole
Usafir upo wa kutosha na ma bus hufika
 
Back
Top Bottom