Smartphone inahitajika

Smartphone inahitajika

Mwandwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2011
Posts
3,057
Reaction score
1,573
Habari ya asubuhi wanaJF...
Nahitaji simu janja (Smartphone) iwe mpya, refurbished au imetumika na ipo katika hali nzuri, aina ya simu ninayo hitaji ni kati ya hizi zifuatazo
Sony Xperia
Z3+
Z5
XZ Premium ukiwa na XZ pia sio mbaya

Samsung
Galaxy S6+

iPhone
iPhone 6+

NB: Kwa simu za kundi la kwanza nimeweka LAKI TANO ingawa pesa inaweza fanyiwa marekebisho kutokana na makubaliano na muuzaji (bei kushuka ama kupanda) na kwa simu kundi la pili pa hiyo laki tano inatosha sana ama itapungua.
Na kwa simu kundi namba tatu naomba muuzaji ndio ataje bei nione kama itaswihi kwa pesa niliyoweka na mahitaji yangu ya simu.

Pia huwa nasoma hapa, memba mkizungumzia simu mbalimbali kama Xiaomi na LEECO naomba kujuzwa uzuri wa hizo simu against nilizo orodhesha hapo juu.


Muuzaji serious naomba tuonane PM
 
Back
Top Bottom