Wakuu habari
Naomba mnisaidie nanunua kuku wa kienyeji pure kabisaaa ambao wanakaribia kutaga nimesikia mikoani vijijini wapo wengi naweza kupata kuanzia 6000 mpaka 8000 wapo wengi sanaa basi...
Meza na kiti kwaajili ya matumizi ya mbalimbali kama ofisini, mobile money office, shuleni, nyumbani kusomea,na matumizi mengine..! viko katika hali nzuri kama unavyoviona, Bei 50k au elfu...
hawa ni samaki wa kufuga kama mapambo wanazaa na wapo wengine wanataga
aina na bei zake
1.gold shubkin
10000 kwa pea yaani mke na mume
2 gold salasa
elfu10000 kwa pea yaani mke...
Wakuu nauza shamba langu liko Bomang'ombe Kilimanjaro ni mwendo wa dakika 10-15 toka boma mjini ni mita 600 toka Barbara kuu ya lami inayoenda Moshi karibu na sheli ya mtoni darajani kama...
Wakuu.....
Nahitaji betri ya laptop yangu ambayo ni Ni HP elite book 6930p
Kwa yeyote anayeuza binafsi au dukani aniambie alipo nimfuate na aweke bei pia...
Shukran
Habari zenu ndugu zangu.
Nahitaji ufafanuzi kuhusu Soko la mayai ya kienyeji na maelezo sahihi juu ya mkoa/mahali yapopatikana kwa wingi.
Naomba kuwasilisha
Jamani wadau salaam!
Nimeanzisha mradi wangu Arusha,ila kutokana na mambo yaliyokua nje ya uwezo wetu,project imesimama sababu fedha imeisha.Ulikua mradi wa ufugaji kibiashara.Pesa ambayo...
Tumewaletea bidhaa bora kutoka Ujerumani,
Tuna suluhu kwa wale wanaotaka kupunguza matumizi ya Umeme viwandani,Mahotelini,Migodini pasipo kuathiri matumizi yao ya kila siku.
Tutafutane...
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
WESTGATE GIRLS SCHOOL - KIBAHA
WESTGATE Girls School -Shule ya sekondari ya wasichana ya bweni inatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha kwanza kwa mwaka wa masomo 2018. Westgate Girls ipo...
surveyed and licensed mining plant land for sale,, and we have potential area is available in East Africa Tanzania for Tanzanite mining plant (Tanzania) is only one country have produce TANZANITE...
Kumekuwa na mtindo wa lecturers kusapusha na kukerisha watu vyuoni kwa visasi tu. Unakuta lecture anakerisha mtu kisa tu mwanafunzi amemkosoa namna anavyofundisha ama unakuta lecturer anasapusha...