suma Nongwa
Member
- Sep 12, 2017
- 97
- 47
Habari zenu ndugu zangu.
Nahitaji ufafanuzi kuhusu Soko la mayai ya kienyeji na maelezo sahihi juu ya mkoa/mahali yapopatikana kwa wingi.
Naomba kuwasilisha