Wakuu nauza shamba langu liko Bomang'ombe Kilimanjaro ni mwendo wa dakika 10-15 toka boma mjini ni mita 600 toka Barbara kuu ya lami inayoenda Moshi karibu na sheli ya mtoni darajani kama unatokea Boma stend.
Shamba ni heka 1.5 Linafaa kwa mazao ya aina zote kwa pembeni mita kama 50 kuna kisima cha maji ya kudumu mwaka mzima kwani kimeunganishwa na chemi chemi.
Nina shida ya kimasomo ambapo nimejaribu mbinu zote nimeshindwa hivyo kwa hiari yangu nauza shamba hill kwa bei ya milioni 6.
Nina hati ya kijiji
Namba yangu ya simu: 0767890256