Samaki wa mapambo bei nafuu na elimu yake bure rahisi sana

appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,914
2,000
hawa ni samaki wa kufuga kama mapambo wanazaa na wapo wengine wanataga

aina na bei zake

1.gold shubkin
10000 kwa pea yaani mke na mume

2 gold salasa
elfu10000 kwa pea yaani mke na mume
3.gold nguruwe
10000 kwa pea yaani jike na dume

4.gold fish ruin
10000 kwa pea jike na dume

4. Gold macho
30000 kwa pea yaani mke na mume

5.gold wakubwa
30000 kwa pea jike na dume

6.gulam
15000 kwa jike na dume

7.gapi weusi
5000 kwa mwanamke na mwanume

8.gapi wekundu
5000 kwa jike na dume

9.red
10000 kwa jike na dume

10.black
10000 kwa jike na dumeaina tofauti za gapi mchanganyiko
5000 kwa pea

nb
jinsi ya kuwatunza ni rahisi sana ntatoa elimu hiyo mda wowote hata baada ya kukuuzia
Napatikana banana ukonga mkabala na shule ya msingi air wing
unaweza kuweka oda ya samaki na ntakuletea hapo ulipo

kwa mawasiliano zaidi
0712505049 napatikana whatsap kwa picha zaidi

asanteni
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
14,841
2,000
What about the whole set ya aquarium?

Nataka kukanunulia katoto kangu.

Kana mwaka na miezi minane.
 
appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,914
2,000
What about the whole set ya aquarium?

Nataka kukanunulia katoto kangu.

Kana mwaka na miezi minane.

kwelamu ndogo inacost 15000 only kama cm 30 ikiwa na paa lake kama nyumba kubwa yake ni elfu 30 na kuendelea
 
Karucee

JF-Expert Member
Mar 11, 2012
14,841
2,000
kwelamu ndogo inacost 15000 only kama cm 30 ikiwa na paa lake kama nyumba kubwa yake ni elfu 30 na kuendelea

No, nataka complete set. Kila kitu ikija ni kuchomeka kwenye umeme tu.
 
Mtingaji

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
1,213
1,500
Bei ya acquarium siyo mbaya, ila nilivyo muelewa Karucee anataka kujua gharama za complete acquarium ikiwa na aina mbali mbali za hao samaki ambao wanaweza kuishi pamoja bila kulana. Nadhani kunaweza kuwa na discount kidogo kuliko kununua jozi (pair) ya samaki kwa bei ya rejareja.
 
BABU CHONDO

JF-Expert Member
Jun 6, 2011
858
195
Aquarium 40000 zinaingia lita ngapi?
Nilikuwa jinafuga kabla ya kuhamia hapa so niliacha hukohuko need kuanza tena kufuga
Naomba kujua :-
Ikiwa kwa hiyo bei napata, taa,pump, mchanga/mawe,pamoja na samaki?
 
inategemea unataka kwelamu ya size gani sasa mkuu kwelamu ndogo ya cm 30 urefu wa mlalo upana cm 20 na urefu cm 20 ikiwa na paa yake plus mapambo kama mawe na maua bila kusahau pampu jumla ni 50
 
appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,914
2,000
Bei ya acquarium siyo mbaya, ila nilivyo muelewa Karucee anataka kujua gharama za complete acquarium ikiwa na aina mbali mbali za hao samaki ambao wanaweza kuishi pamoja bila kulana. Nadhani kunaweza kuwa na discount kidogo kuliko kununua jozi (pair) ya samaki kwa bei ya rejareja.

discount ni kwa special case tu na kibiashara lakini si kwa ufugaji wa kawaida majumbani yaani uchukue wengi kwelikweli sio idadi kadhaa ya samaki
 
appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,914
2,000
Aquarium 40000 zinaingia lita ngapi?
Nilikuwa jinafuga kabla ya kuhamia hapa so niliacha hukohuko need kuanza tena kufuga
Naomba kujua :-
Ikiwa kwa hiyo bei napata, taa,pump, mchanga/mawe,pamoja na samaki?

bei hiyo mkuu ni kwelamu ndogo cm 30 urefu wa mlalo upana 20 urefu kwenda juu 20 mchanga, mawe, pampu,maua, tu bei ya samaki inategemea na aina ya samaki unaochukua mkuu na utakaopenda
 
appoh

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
4,914
2,000
Aquarium 40000 zinaingia lita ngapi?
Nilikuwa jinafuga kabla ya kuhamia hapa so niliacha hukohuko need kuanza tena kufuga
Naomba kujua :-
Ikiwa kwa hiyo bei napata, taa,pump, mchanga/mawe,pamoja na samaki?

kwa hiyo kwa kwelamu ya elfu50 itaingia lita kama 8 hivi lakini hazizidi lita kumi inategemea na mapambo kama mchanga yatakua yanachukua nafasi gani
 
Rugaijamu

JF-Expert Member
Jul 10, 2010
2,920
2,000
umenikumbusha miaka ya 1994/95,nilipokuwa na nafuga samaki....nilikuwa na kwelamu kubwa na samaki weng kipindi hcho;majeshi,gapi,red,black'moo,zebra....NATAMANI KUFANYA HVYO TENA.
 
ndio kipindi walichoingia kutoka ulaya hata mimi nilianza 1992 mpaka leo sijawai kuacha
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom