syndicate
JF-Expert Member
- May 5, 2016
- 258
- 478
Meza na kiti kwaajili ya matumizi ya mbalimbali kama ofisini, mobile money office, shuleni, nyumbani kusomea,na matumizi mengine..! viko katika hali nzuri kama unavyoviona, Bei 50k au elfu hamsini(50,000/=) tu kwa pamoja kiti na meza, USD 25 $ only, mbao nzuri ya mpodo! Bidhaa hii iko Ubungo external Dar es salaam! karibuni sana ,epuka matapeli na madalali njoo ukutane na mmiliki wa bidhaa moja kwa moja!!
Mawasiliano! kwa tigo piga +255 679 697 269 airtel +255 785 364 943!!