Project Proposal write up

Project Proposal write up

bukoba boy

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2015
Posts
5,375
Reaction score
3,976
Jamani wadau salaam!

Nimeanzisha mradi wangu Arusha,ila kutokana na mambo yaliyokua nje ya uwezo wetu,project imesimama sababu fedha imeisha.Ulikua mradi wa ufugaji kibiashara.Pesa ambayo imetumika mpaka sasa ni kama million 35 na huu ni mradi ambao sio mdogo(wa kati).

Sasa natafuta njia nyingine ya kuufanikisha mradi huo kwa njia itakayowezekana.Proposal ipi itafaa aidha ya kibiashara au huduma kwa jamii?

Na pia utaalam wangu wa kuandika proposal bado ni mdogo nakwama,kwa yoyote mwenye uelewa na haya mambo anisaidie.
Napatikana Dar Es Salaam.

Shukrani.
 
Ufugaji wa Kiki, ngombe, nyuki sungura au nini? Je unataka writeup ya kitu gaming viability? Kuombea mkopo ama kutafutia partner?
 
Maelezo mengine si busara kuweka hadharani ila ni ufugaji.Kuombea donor fund kwani sina vigezo vya mkopo.
 
Propal nzuri andika mwenyewe afu ndio uipeleke kwa mtu anayeweza Edit vizuri kitaaluma.Kwanza jiulize vitu hivi Why,When,How,Ukiandika usisahau Kufanya utafiti kwa unayemwandikia(Donor) kiwango chake cha uchumi kikoje?Ananufaika Vip na huo Mradi wako?.Mambo ni mengi kama huna uzoefu wa kutosha inakubidi usome kwanza ndio uandike,Kuna vitabu pia unaweza nunua ukajisomea kwanza mkuu.
 
Nimeandika mwenyewe lakini nakwama mkuu
 
s
Nimeandika mwenyewe lakini nakwama mkuu
Wakuu, Uandishi wa proposal inahitaji ujuzi, sio mkusanyiko wa data tu kichwani mwako na kuziweka ktk karatasi....ndio maana wapo wajuzi kama sisi (sijifagilii) lakini ndo tuliamua kuspecialize uandikaji wa PROPOSALS, hivyo kwa kushirikiana na mwenye wazo la mradi, Proposal huandikwa vizuri na likakidhi vigezo vya kitaalamu, na pia likabeba wazo la mradi kutoka kwa mhusika. Kwaivo ni vema proposal ikaandikwa na wabobezi...yaani vema kuoutsource hiyo huduma...unafikiri kila mtu akifanya kila kitu, duniani kutakuwa na kazi kweli? ila ni kweli mwandishi mzuri atamshirikisha mwenye mradi ili kufanya andiko bora...tena linatokana na participatory study. Ndugu mhitaji, mtoa uzi huu..nitafute tuandike hiyo proposal, usiogobe bei, inaonekana una idea ya uandishi, so itakucost kidogo......Karibu.
 
Mkuu wewe ulizaliwa ukiwa mbobezi?
 
Back
Top Bottom