Tabia ya lecturers kukamata watu vyuoni kwa visasi

uncledalali

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
249
Reaction score
118
Kumekuwa na mtindo wa lecturers kusapusha na kukerisha watu vyuoni kwa visasi tu. Unakuta lecture anakerisha mtu kisa tu mwanafunzi amemkosoa namna anavyofundisha ama unakuta lecturer anasapusha mtu kwa sababu ya kupelekewa maneno ya uchochezi na watu ama kwa kugombea msichana ama kwa kukataliwa na mwanafunzi kimapenzi n.k
Swali la kujiuliza je hawa malecturer wenye tabia hizi walistahili kupewa jukumu la hilo??? Bilashaka jibu ni hapana, basi vyuo viweke utaratibu rafiki kwa wanafunzi wa kukabiliana na hali hii.
 
Piga shule kijana acha kulia lia.
 
Hilo jambo ni janga sana kwa wanafunzi
 
Fuata sheria na Taratibu zilizowekwa, kila chuo kina taratibu zake na sheria za nchi zipo!
 
Tatizo hamsomi... kingereza cha kuunga unga na gundi ndio upate maana ya kitu mtu alichoakiandika...wanafunzi wa chuo wengi ni usister du na ubrazameni...kwa nn tusikukamate
 
Ndiyo Maana Mkirudi Mitaani mnakuwa washawashwa
 
Lakini taratibu za kufuata ikitokea hali hiyo si zipo?
 
kwa mwandiko huu nawe ukirudia utasema nivisasi ?
 
Yeah ni vizuri wanafunzi wapewe kinga,na kusikilizwa malalamiko yao wanapohisi kutendewa hayo,
Ila mashitaka yasisikilizwe na hao hao lecturers maana hawatupani katika kufanikisha fitina.
 
Mambo mengine mnajitakuagA wenyewe utamnyimaje uke mwalimu wako hata kama ni mimi umeninyima jua utasup tu
 
Piga shule kijana acha kulia lia.

Umesema vema! Hivi kama umejib vzr anakukamataje?? Anaanzaje wkt uko sawa? Hiyo ni misemo ya wanaoshindwa. Ni sawa na wale wasema kuwa amenikamata sbb nilimkataa
 
Haija kukuta Mambo hayo yapo Tena wafanyiwa bila hata kujua sababu.
 
Kumekuwa na mtindo wa lecturers kusapusha na kukerisha watu vyuoni kwa visasi tu. Unakuta lecture anakerisha mtu kisa tu mwanafunzi amemkosoa namna anavyofundisha ama unakuta lecturer anasapusha mtu kwa sababu ya kupelekewa maneno ya uchochezi na watu ama kwa kugombea msichana ama kwa kukataliwa na mwanafunzi kimapenzi n.k
Swali la kujiuliza je hawa malecturer wenye tabia hizi walistahili kupewa jukumu la hilo??? Bilashaka jibu ni hapana, basi vyuo viweke utaratibu rafiki kwa wanafunzi wa kukabiliana na hali hii.
Kuna kukata rufaa kama unahisi umeonewa.

Chuo sio sawa na sekondari au shule za msingi.
 
Back
Top Bottom