Habari wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu kuwa napangisha nyumba iliyopo mbagala kuu karibu na shule ya msingi ya maendeleo mita mia 200 kutoka barabarani chumba kimoja na...
Laini zipo mbili zote zinahitaji Mtumiaji..ni wewe na mtaji wako.
Bei kwa laini ya voda ni 200000(laki mbili)
Bei kwa laini ya Airtel ni 150,000(laki na nusu)
Anahitajika wa kuchukua ZOTE...
Habari wadau,
naombeni msaada kwa anayejua shule nzuri ya watoto (English medium) kwa maeneo ya Tabata na kinyerezi au jirani na maeneo haya!!
nataka nimpeleke mtoto Wangu ana miaka 4 na nusu...
HALMASHAURI YA WILAYA YA MAKETE
TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Mkurugenzi Mtendaji (W)Makete kupitia kibali cha ajira mbadala kilichotolewa na
Katibu Mkuu - Utumishi Kumb. Na. CFC 26/205/01"FF" /91...
tunauza nguo za watoto za mtumba za ukweli, Magauni, sketi, blauz, sweta, pensi, suruali, short pens, swiming cost, t shert, shati, tyt, nk bei ni sh 8000 nakuendelea tunapatikana karume piga...
Nyumba ina vyumba 2 kimoja ni self,jiko,seble, nk
Ina jitegemea kwenye fence
Bei 400,000/ kwa mwezi,malipo kuanzia miezi 6 nakuendelea
Kwa maelezo zaidi +255756060183
Waungwana nimechoka kuona wanangu waliozaliwa kuanzia 2006 wakiiamkiaHITACH TV (CHOGO) yangu shikamoo...nataka nilete kitu cha flat screen tv mpyaaaaa...budget yangu ni shilingi laki tano...
Wasalaam
1.Eneo liko Dodoma mjini mtaa wa mahungu(mbwaga ya zamani) kama unaenda Nala nyuma ya ghorofa nzuri anayojenga BHAHARESA na lina ukubwa wa ekari 3
2.Umbali kutoka town centre ni...
Baada ya safari kutafuta machimbo mapya ya simu kali kali za kibabe, tablets zilizosimama, laptop latest na accessories za ubora wa kimataifa, hatimae nimerudi tena na mzigo mzito...Wateja wangu...