Chumba kimoja elfu 40 kwa mwezi kimara

Chumba kimoja elfu 40 kwa mwezi kimara

kwenzi

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
669
Reaction score
667
Chumba kinapangishwa kipo katika mazingira mazuri kabisa ya utulivu

Wapangaji wapo sita vyoo vipo vinne mabafu yapo matatu vyumba vingine ni self container vimejaa

Umeme buku kumi kwa mwezi
Maji yapo karibu ya bomba ni 100 ndoo kwa mwezi ni 5000

Hakuna udalali ukiamua utanipa hela ya soda ha ha ha ......just kiding
 
ambatanisha picha
 
Kipo Kimara mwisho maeneo ya king'ong'o bodaboda 1000
Noah 500
Tax 500
Miguu kutoka stand mpaka hapo ni dakika 20 mpaka 30
 
weka picha isije ikawa ni porini mtu aje afu u-bensanane
 
Unaruhusiwa kupaona mwenyewe mkuu picha nitakudanganya chumba kizur na kina kibalaza kikubwa kabisa unaweza kutumia kama jiko au kastoo
Wewe ni dalali ama mwenye nyumba. Maji yapo? Choo safi? Mwenye nyumba anakaa hapo? Gari inafika? Kina ceiling? Ni cha nje ama cha ndani?
 
Mkuu mbona nimeandika yote soma tena vzur chumba cha nje gar linafika mpaka ndani hakuna dalali mkuu
 
Chumba kinapangishwa kipo katika mazingira mazuri kabisa ya utulivu

Wapangaji wapo sita vyoo vipo vinne mabafu yapo matatu vyumba vingine ni self container vimejaa

Umeme buku kumi kwa mwezi
Maji yapo karibu ya bomba ni 100 ndoo kwa mwezi ni 5000

Hakuna udalali ukiamua utanipa hela ya soda ha ha ha ......just kiding
Kimara ipi?
Mpaka barabara kuu ni umbali gani??
 
Kipo Kimara mwisho maeneo ya king'ong'o bodaboda 1000
Noah 500
Tax 500
Miguu kutoka stand mpaka hapo ni dakika 20 mpaka 30
Dah, basi!!
Nilidhani maeneo ya korogwe, bucha. Ningemchukulia dogo fasta kama angeridhika nacho.
 
The man is kidding.
Kumbe hana vyumba
 
Kama kina subwoofer na flat screen ndani jiko la gesi na sofa basi nistue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom