iPhone 5S kwa bei chee

Pancras Suday

JF-Expert Member
Jun 24, 2011
8,141
3,834
IMAG0767.jpg

IMAG0769.jpg
IMAG0770.jpg
IMAG0771.jpg
IMAG0773.jpg
Jipatie iPhone 5S 16GB kwa bei ya 560,000/= Tshs, simu ipo katika hali nzuri na imetumika miezi mitano tu, pia maelewano yapo

0625648408
0719045499
0755300760(whatsapp only)
 
Tangu waseme kununua iphone kwa mtu ni hatari nmeshaogopa mazima...japo naitamani

iPhone ndo simu unayoweza kununua Kwa mtu Kwa urahisi na uhakika kuliko cm nyingine yoyote.... Hii ni kutokana na account yake ya iCloud , Ambayo ni kigezo cha kujua u original wa cm pia na umiliki wa hiyo cm ...! Bila kuweka account yako na ikakubali usitoe hela
 
Tangu waseme kununua iphone kwa mtu ni hatari nmeshaogopa mazima...japo naitamani
Mkuu, kinachoogopwa kwenye iphone ni icloud, iphone ikiwa na icloud ya mtu mwingine na sio account yako ndo ya kuogopa, ila ninayokuuzia mimi nahakikisha kwamba umetengeneza account yako ndo unikabidhi hela
 
Ok mkuu...upo dar au wapi?
 
Tangu waseme kununua iphone kwa mtu ni hatari nmeshaogopa mazima...japo naitamani

Hahahhaha
Kweli usilolijua ni.........usijaribu kununua simu yoyoote (smartphone)unless unamjua huyo anaekuuzia au mtu wa familia wa kwenu
Lkn IPHONE hio haina shida kwasbb inajieleza yenyewe
Mbaya au hatari zaidi ukiiokota au kumuibia mtu au kumsahaulisha mtu
Hapo hadi chini ya uvungu utapatikana hata kama umeizima
 
Back
Top Bottom