Tunauza dagaa, senene pamoja na samaki. Karibuni sana

Tunauza dagaa, senene pamoja na samaki. Karibuni sana

Isack inno B

Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
97
Reaction score
51
Lake V fish monger tunawatelea dagaa za kukaanga, senene za kukaanga pia SAMAKI fresh wabichi directly from BUKOBA(ZIWA VICTORIA) bei zetu ni

1. Samaki kwa bei ya Reja reja kwa kilo ni sangara Tsh 7500 na sato Tsh 9500
2. Samaki kwa bei ya Jumla kwa kilo sato ni Tshs 8500 na sangara ni Tsh 6500
3. Dagaa za kukaanga 1500 pakti, dagaa za kukausha kwa jua zikiwa kwenye pakti ni tsh 1000
4. Senene zipo za bei tofauti kulingana na ujazo kuna za 2500 na za 7000

karibu uje upate samaki wenye ubora ya hali ya juu, dagaa na senene za kukaanga zenye viungo kama vitunguu swaumu, pilipili, limao.

Maduka yetu yapo Kimara Tembon na mbagala zakhem mashine ya maji.

Tunatoa huduma ya kukuletea mzigo mpaka ulipo kwa wakaz wa Dar es salaam endapo utachukua kuanzia kilo KUMI.

Mazingira ni masafi na ya kuvutia. karibuni sana..kwa mawasiliano wasiliana nasi kwa namba zifuatazo:-
0628660132, 0718249862 na 0752714965..


Kwa wale wakazi wa
  1. Kahama
  2. Tinde
  3. Nzega
  4. Igunga
  5. Shelui
  6. Igunga
  7. Singida
  8. Manyoni
  9. Dodoma
  10. Morogoro
  11. Chalinze
  12. Mlandizi
  13. Kibaha
  14. Arusha

Mteja wa sehemu hizo atakayeweza kuagiza kuanzia kilo 50 atafikishiwa hadi stendi ya basi na kupokea mzigo wake.

KARIBUNI SANA.
 

Attachments

  • IMG-20171004-WA0035.jpg
    IMG-20171004-WA0035.jpg
    45 KB · Views: 34
  • IMG-20171004-WA0036.jpg
    IMG-20171004-WA0036.jpg
    51.3 KB · Views: 37
  • IMG-20171004-WA0037.jpg
    IMG-20171004-WA0037.jpg
    63.3 KB · Views: 31
  • IMG-20171004-WA0038.jpg
    IMG-20171004-WA0038.jpg
    68.5 KB · Views: 33
  • IMG-20171004-WA0039.jpg
    IMG-20171004-WA0039.jpg
    47.9 KB · Views: 35
  • IMG-20171004-WA0041.jpg
    IMG-20171004-WA0041.jpg
    39.5 KB · Views: 34
  • IMG-20171004-WA0042.jpg
    IMG-20171004-WA0042.jpg
    51 KB · Views: 36
  • IMG-20171004-WA0043.jpg
    IMG-20171004-WA0043.jpg
    50 KB · Views: 40
  • IMG-20171004-WA0044.jpg
    IMG-20171004-WA0044.jpg
    39.7 KB · Views: 31
  • IMG-20171004-WA0045.jpg
    IMG-20171004-WA0045.jpg
    72.9 KB · Views: 33
  • IMG-20171004-WA0046.jpg
    IMG-20171004-WA0046.jpg
    64.1 KB · Views: 32
  • IMG-20171004-WA0047.jpg
    IMG-20171004-WA0047.jpg
    69.3 KB · Views: 37
  • IMG-20171004-WA0048.jpg
    IMG-20171004-WA0048.jpg
    39.9 KB · Views: 36
  • IMG-20171006-WA0001.jpg
    IMG-20171006-WA0001.jpg
    47.6 KB · Views: 31
  • IMG-20171006-WA00951.jpg
    IMG-20171006-WA00951.jpg
    44 KB · Views: 32
Back
Top Bottom