Nije nichukue tv nina 200kRejea kichwa hapo juu nauza tv flat sreen 270,000/= na simu samsung s3 150,000/= nko mbezi kimara
mawasiliano 0712846799 na 0767834342
picha izo chiniView attachment 602451View attachment 602452View attachment 602453View attachment 602454View attachment 602455View attachment 602456
Ulinunua lini na listi unayo nipa ni ya mashine wewe una mashine ya kutoa lisitimkuu tv haipungui hta 10 hiyo had receipt nakupa na warranty miez 6 mkuu
Mkuuu sio lisiti,,kama huwezi nakili alivyoandikaUlinunua lini na listi unayo nipa ni ya mashine wewe una mashine ya kutoa lisiti
Kama uko serious nitumie namba ya simu kwa pm niifuate leo kwa laki moja, asanteOngeza 20 nikuuzie mkuu