Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari zenu wanajamvi, Nauza nyumba yangu mwenyewe sio dalali, ipo wilayani Maswa mkoani Shinyanga mtaa wa Dodoma, kama upo serious nichek tufanye biashara, bei ni maelewano, ndani ya eneo la...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba kujuzwa bei ya debe la mahindi kwa dar nishingapi au kwa kutumia kilo kipimo kilicho zoeleka uko nishingapi kwa yoyote anaeganya biashara ya nafaka dar na anaitaji mahindi mazur tunaweza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa natafuta wateja wa asali mbichi ya nyuki wakubwa Lita moja sh 15,000/ Lita ishirini sh 220,000/ kwa Tanzania nakuletea ulipo. Kwa mawasiliano 0717778505 na 0768234639 karibuni
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Tunafanya usafi na utunzaji wa Mazingira plus fumigation
0 Reactions
1 Replies
1K Views
On sale used Lenovo T410 2537WXK processor core i5 2.53Ghz,ram 4gb,hdd 250gb,DVD RW,Webcam,3 hours plus on battery,wireless,finger print,4 USB port,windows 10..price Tsh 380000 interested...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuanzia.... 2 Ram 13mp camera Na internal 16 Ikubali Sdcard Pia isiwe iliyowahi kufunguliwa Kama iko na hali nzuri sana naongeza hela kidogo Bajeti laki 1.6 Niko DSM 0718295182
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nawaza sana, startimes ni elfu 78 pamoja na antena, dstv inauzwa 79. Sasa tatizo kwenye malipo ya vifurushi. ......
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Hawa ni Wataalamu na Mabingwa wa kupambana na Wizi wa kiuharifu katika nyumba na magari Tunatumia Teknolojia ya Hali ya Juu ya kuifanya nyumba yako iwe katika hali ya ubora na usalama zaidi...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Call whatsapp 0688767668/0715967107 Kinondoni Manyanya Mtaa wa Brazil Autoguru workshop
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naitaji kiwanja mwanza kati ya kirumba,kitangiri,ghana,bwiru,na elemela pesa nilio nayo ni million 6 tu niko siriasi kabisa kama unacho nicheki inbox nikupe no yangu tuwasiliane
0 Reactions
4 Replies
944 Views
Kuna link na nimesikia Times Fm. Kuna washkaji wanakopesha viwanja kwa kulipia Tsh:1,000 kwa siku. Sasa link yao nimeisahau nimeiona wapi Mwenyenayo aitupie hapa BLESSED
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habar wana jf Kama kichwa cha habar kinavyoeleza Nahitaj chumba kiwe na choo na sebule maeneo ya tabata , bugurun malapa , kiwalani na sehem yeyote karibu na mji Chumba na subule vikiwa...
1 Reactions
2 Replies
889 Views
Habari wanajamvi, Msaada, ni wapi naweza pata kiatu tajwa original hapa mjini Dar. Nimejaribu kutembea K'koo last Wikend nimekuta fake vingi wanauza kwa 85k(nafahamu Og itakuwa zaidi hapo). Shida...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari zenu wakubwa shikamoo!wadogo mambo vp!namiliki samsung s6!lakini nahitaji mwenye s6+tufanye kubadilishana na nimuongezee pesa!anitajie ofa nzuri nipo tayari kama yupo inbox itatuhusu!asanteni!.
1 Reactions
6 Replies
815 Views
Mwenye kuuza simu nitafute kwa 0769386392
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Jamani gari inauzwa 3.5 mil fixed, ipo Dar es Salaam, inahitaji rangi, shockup za nyuma, mfuniko wa tank la mafuta.Gari ina namba B. Aliyetayari ani PM tuzungumze biashara.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wadau , Nimefunga salun yangu ambayo nimeiendesha kwa mda wa mwezi mmoja tu. Sabab ya kuuza,ninahamia mkoani kikaz, Kioo cha mbele kikubwa futi 5*6 80,000/=(aluminium) Kioo cha nyuma...
0 Reactions
7 Replies
15K Views
Nina sambaza karanga mbichi kwa bei poa, karanga zinatokea mkoa mpya wa songwe wilaya ya mbozi, kubwa kubwa nyeumbe na nyekundu, bei yetu ni shilingi 2,500 nyeupe na 27,00 nyekundu, karibuni sana...
1 Reactions
45 Replies
9K Views
Frij ndogo bei 150,000 na tabulate kali 150,000.Mwenye navyo fanya haraka kabla sijamalizia pesa kwenye bia.
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Salamu wakuu, Natafuta Ps3 console mbili (2) za kununua ambazo zitakuwa mpya au zilizotumika kwenye hali nzuri pamoja na controller (pad) zake. Mashine zilizoguswa guswa na kurekebishwa no...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…