Naitaji kiwanja Mwanza nina 6m

Naitaji kiwanja Mwanza nina 6m

NASEEB HASSAN

Member
Joined
Oct 7, 2017
Posts
42
Reaction score
27
Naitaji kiwanja mwanza kati ya kirumba,kitangiri,ghana,bwiru,na elemela pesa nilio nayo ni million 6 tu niko siriasi kabisa kama unacho nicheki inbox nikupe no yangu tuwasiliane
 
Nenda Buhongwa Bulale kuna vya kutosha ila tatizo umeme na maji.
 
Kuna kiwanja nyamadoke kimepimwa million 5
Piga 0766-195115 tufanye biashara

Kuna kiwanja kahama kimepimwa bei million 5 na nusu wahi kiko sehemu nzuri sana Huduma zote zipo piga 0766-195115 ahsante
 
Back
Top Bottom