colin_morgan
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 2,443
- 2,928
habar wana jf
Kama kichwa cha habar kinavyoeleza
Nahitaj chumba kiwe na choo na sebule maeneo ya tabata , bugurun malapa , kiwalani na sehem yeyote karibu na mji
Chumba na subule vikiwa vinajitegemea itakua bora zaid
Bajeti yangu ni 100,000 tzs -120,000tzs
Karibuni mnipe msaada wadau