kipo cha dstv bomba buku 19/month, kama ulaya baba ila movie kwa mbalii
sabasaba vilikua vinauzwa 69Nawaza sana, startimes ni elfu 78 pamoja na antena, dstv inauzwa 79.
Sasa tatizo kwenye malipo ya vifurushi.
......
Ukitaka yote haya unalipia kile cha premium chenye channel 130+ kwa shilingi 184,000 tu kwa mwezi huko ndio mpango mzima...kwenye hicho cha 19975 channel za michezo ni 5 kama sijakosea ambazo hazina uhondo kiviileUnaona mpira wa ulaya au ndio mamovie tu