Rangi nzuri ya kupaka nje

Rangi nzuri ya kupaka nje

Wdl

Senior Member
Joined
Jun 2, 2017
Posts
191
Reaction score
187
Tafadhali ushauri wa rangi nzuri iliyoko kwenye chart, kwa ajili ya kupaka kwenye kuta kwa nje kwenye nyumba ya kuishi.
 
rangi ni mpangilio maalumu unaozingatia mlinganyo wa vitu vingine ili kupendezesha nyumba mfano, rangi ya bati la nyumba, frem za madirisha yako yana rangi gani ? ila rangi nzuri ni rangi za ukavu
 
rangi ni mpangilio maalumu unaozingatia mlinganyo wa vitu vingine ili kupendezesha nyumba mfano, rangi ya bati la nyumba, frem za madirisha yako yana rangi gani ? ila rangi nzuri ni rangi za ukavu
Ahsante kwa ufafanuzi,
 
Back
Top Bottom