Nahitaji gari aina ya stauti

Nahitaji gari aina ya stauti

zizo12

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2017
Posts
278
Reaction score
136
Wakuuu mwenye gari ya stauti aweke namba hapa ya sisi wakulima
 
Wakuuu mwenye gari ya stauti aweke namba hapa ya sisi wakulima

Ziko sana ' Ugweno ' huko Upareni Mwanga hebu wasiliana na Wapare Mkuu kwani nadhani Tanzania nzima wao ndiyo wenye mapenzi ya dhati kabisa na hizo aina ya Gari.
 
Ukitaka gari zote za zamani kuanzia Staut,Bittle hadi Mandolini nenda Arusha au Moshi utazipata nyingi tuu sababu Wazee wa kule wanajua kutunza gari sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom