Biashara ya vocha

Biashara ya vocha

right way

Member
Joined
Jul 28, 2017
Posts
85
Reaction score
28
Habar ndugu zangu kwa wakaz wa mbeya ninauliza kwa wale mnao fanya biashara ya vocha nimeuliza kua moja wanauza 475 na 975 sasa napenda kuuliza kama unamtaji wa Tsh 500,000 unapo nunua hakuna punguzo lolote kwa wale mnao uza jumla jumla nisaidien kuna jamaaa angu anitaji kufanya biashara ya kuuza vocha vijijin na hasa kwa mtandao wa voda,halotel na airtel.
 
Back
Top Bottom