Natumai mnaendelea vyema na majukumu ya kila siku ni kama kichwa cha habari kinavyojieleza, ninahitaji kufahamu bei na upatikanaji wa generator tajwa hapo juu likiwa ni la three phase na uwezo wa...
Kampuni ya mastech IT solution inatoa ofa ya kutengeneza website kwa bei nafuu security ipo juu sana tunatumia firmwork za kisasa zaidi kama laravel pia tunatoa huduma za computer maintainance and...
Habari za asubuh wakuu...
Naomba kufahamishwa maeneo yanayouzwa bidhaa zifutazo kwa jumla
1.super glue
2.dawa za viatu(kiwi,kangroo)
3.dawa za meno
4. Soksi(pundamilia)
5 amira
6 n.k
Naomba...
Shamba linauzwa liko Msowero Kilosa liko kando kando mwa mto Msowero llinafaa kwa kilimo cha umwagiliaji shamba limepimwa na lina hati ipo nyumba kwa ajili ya kuhifadhia zana za kilimo barabara...
Ni Samsung J7 na Samsung Galaxy Grand prime Plus mtumba from S A
Hiyo ni Samsung Galaxy J7 bei 300k,
hiyo ni Samsung Galaxy Grand prime Plus 200k tu.
Bei hizo ni fxd sipunguzi anayehitaji...
Hii nimeikuta sehemu na kujiuliza maswali mengi.Nanyi wadau wa JF someni na kutoa maoni yenu.
Familia ya A.Rimoy inaomba msaada wa kuchangiwa figo 1 (kike/kiume) kwa ajili ya mzee wao kwa yeyote...
Kiwanja chenye nyumba ya vyumba viwili (ina mpangaji) inauzwa
Ina eneo lenye ukubwa wa metre 40 kwa 30 /zaidi ya robo heka
Kipo metre 200 kutoka katikati ya barabara ya lami ya Moshi Dar road...
Ndugu kamishna Wa Skauti wilaya ya Geita DC unakaribishwa katika kambi la Skauti wilaya ya Mbogwe Desemba 08/2017 litakalo fanyika shule ya sekondari Iponya -Mbogwe Geita.
Habarini Wana JF poleni na majukumu ya kila siku!!!!!!!
Kama kichwa kilivyo Wana JF na shida ya kupata vifaranga wa kuku wa kufuga
Aina ya Hawa kuku wako kama wa kisasa ila ni wa kienyeji wapi...
Jipatie vyombo vya nyumbani mbalimbali vikiwemo dinner set, vikombe, sahani n.k. Bei zetu ni nafuu
Kwa mawasiliano zaid kwaajili ya kujua bei na kuona picha zaidi tuwasiliane kupitia namba...
Kwa heshima na taadhima wanaJamii Forums naomba mnisaidie majina ya Makampuni yanayouza Motor Grader hapa Tanzania ili niweze kuwasiliana nao kujua bei. Itakuwa vyema pia kupata simu zao...
Suala la umiliki wa ardhi limekuwa si jambo geni lakini pia si jambo la ziada Bali ni la msingi katika ulimwengu huu na katika nchi hii hasa ukizingatia kila siku iendayo kwa Mungu ardhi imekuwa...