Habari ya leo Wadau?
Nakuja kwenu kuomba anayefahamu anielekeze mahali ninakoweza kupata mbegu ya mpunga itwayo KOMBOKA, au nyingine yoyote ya kisasa/chotara (hybrid) ambayo ninataka kuitumia kwa...
INCHI 22 INA USB PORT, HDMI, EARPHONE PORT, DC AND AC ELECTRICITY 210,000 DSM HAINA TATZO LOLOTE BALI NATAKA CHUKUA 32 INCHI SERIOUSLY BUYER ONLY 0787 429 104. MBEZI LUIS.
Tunakodisha na kuuza magauni ya harusi na sherehe mbalimbali kama send off,bei ya kukodisha ni tshs 250000 na kuuza ni tshs 450000.Napatikana Tabata magengeni kwa mawasiliano 0659274118.
Asali mbichi toka mkoani Tabora ya nyuki wakubwa.bei ya lita moja ni tshs 10000 na lita tano ni tshs 45000,napatikana Ukonga -Dar es salaam.mawasiliano 0655030711.
Nauza kiwanja kipo Tegeta Boko, DAWASCO, upande wa pili wa bahari kwa juu.
Kimepimwa na serikali, imebaki kulipia na kupata hati miliki.
Unaweza kwenda kujiridhisha kuwa kiwanja kipo safe...
Kiwanja 20 mita kwa 21 mita kimepimwa, Tegeta dawasco book.
Bei million 14 .
Unaweza kulipa kwa awamu ...kwa kutanguliza cash million 8 au 9..
Hati miliki IPO njiani inatoka kwa jina LA mnunuzi...
Nissan Patrol for sale for an expatriate who left.
-Body type- Station wagon
-Year of manufacture 1,999
-Fuel used - Diesel
-Colour -Grey Beige
-All services were done regularly
- Price -...
Jamani wana jf,nataka nianzishe biashara,flan hivi,ila nmekwama katika kupata ni wapi ambapo wataweza kunitengenezea package kama zile za diamond karanga ,so msaada jamani,kwa watu wenye ujuzi wa...
Kwa mtu yeyote yule anahitaji kudeal na mobile financial services kupitia line za M-pesa tafadhali wasiliana nami kupitia no. 0768 399 069 nina line za mpesa naziuza kwa bei nafuu.
Nyumba ipo barabarani kabisa (Maguruwe road) kitu ambacho kinaifanya iwe nzuri kwa biashara.
Unaweza ukatengeneza frame za kukodisha au kutengeneza biashara ya parking ya magari au biashara...