Habari wanaJF,
Natafuta chumba cha kupanga chenye choo na bafu yake (master bedroom)chenye bei nafuu maeneo ya kuanzia Pasiansi mpaka Nyegezi stand. Kwa yeyote mwenye kujua upatikanaji tafadhali...
Habari zenu?
Mimi nimfugaji wa kuku chotara lengo ilikua ni kwaajili ya biashara ya mayai lakini baada ya kuletewa vifaranga nikakuza na majogoo ambayo kwasasa nimeamua kuyauza. Wapi nnaweza...
Nyumba Inapangishwa Tangi Bovu (Mbezi beach) nyuma ya kanisa la KKT eneo la kwa Mboma.
Ni vyumba viwili vya kulala ,Sebule, Jiko, Choo,dining na kibaraza cha mbele.
Bei 200,000 kwa mwezi...
Msingi juu ya kiwanja unauzwa kiwanja kina Hati sq m645 karibu na Mt Evarist International School ni sehemu maridhawa waweza jenga gorofa moja piga 0654347423 haraka
Wakuu , baada ya jana kuzunguka sana Maeneo ya Mawasiliano na Msewe na madalali wa kule nimekosaaa room.
Kama kuna yoyote ambae anaishi maeneo hayo na yuko karibu kuachia room naomba tuchekiane...
Bati la IT5/MSOUTH/MIGONGO MIPANA
Bati la IT5(industrial Trough 5) maana yake migongo iliyolala ni mitano ndio maana likaitwa IT5 au wengi hupenda kuyaita mabati ya msouth.
Kwa bati la sunshare...
Habari zenu wakuu, nauza package za accounts aina ya quickbooks uk version za kuanzia 2010 mpaka 2017 aina zote pro , premier na accountant kwa bei nafuu sana. ukihitaji nicheck kwa
email...
adau naomba mniwezeshe mwenzenu kwenye huu ulimwengu wa ujasiliamali. Ninauza Mbao za mninga na Mkongo mzigo umekuja juzi tu; wahi upate super!!! Bei zinatofautiana kutokana na size. Mbao zote...
Wakuu ninauza kiwanja changu 66ft kwa 131ft kipo uelekeo wa Chanika (kutokea Pugu) kituo kinaitwa Kwachikila (Karibu na Sheratoni). Ukishuka hapo bodaboda ni elfu 1 hadi 1.5 mpaka unafika kwenye...
Habari Wakuu!!!!
Nahitaji gari used aina ya raum Au noah,bajeti yangu ni 5 cash mkononi.
Najua hela yangu yaweza kuwa ndogo ila kwa mtu mwenye uhitaji wa hela Nadhani anaweza kuuza alichonacho...