Mabati ya msouth/IT5/MIGONGO MIPANA

JMK ROYAL SERVICES

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
226
83
47f41b2eddb3321f490e3e06dd80e979.jpg
ef2e7d854ffa652e1fd125623ab2bb26.jpg


Bati la IT5/MSOUTH/MIGONGO MIPANA

Bati la IT5(industrial Trough 5) maana yake migongo iliyolala ni mitano ndio maana likaitwa IT5 au wengi hupenda kuyaita mabati ya msouth.
c007c04544463cbc6236e73f45d4b292.jpg


Kwa bati la sunshare hutengeneza bati hili kwa kiwango cha hali ya juu,na imara sana,kukinganisha pia na bati zingine

-Upana(overall width). Mabati ya it5 ya sunshare yapo katika upana wa aina tatu ,upana wa 87 cm sawa na870mm, upana wa 98cm sawa na 980mm, na upana wa 107cm sawa na 1070 mm.
e41622e54146c811e74c137eca97e3bd.jpg

6cf35f73e474dc2e3f7b51fdc089d5c6.jpg

7153b76614066a65c24267e1a6e869c6.jpg


Upana wa kuezekea(effective cover)
Za upana wa 87cm effective cover width yake ni 82cm

Za upana wa 98cm effective cover yake ni 91cm

Za upana wa 107cm effective cover yake ni 101cm
-Gauge yanapatikana kuanzia 26gauge,28gauge na 30gauge.

-Urefu linatengenezwa kuanzia urefu wa meter moja mpaka meter 12,kulingana na vipimo utakavyo

-material ni alunzinc ,

-Rangi ni blue,skyblue,green,brickred,charcoalgray,red,tile red na brilliant white .hazipauki.kuna maabara ya kupimia ubora na upaukaji wa rangi
56bde5459d3e47d82ab1b2afcd9abe18.jpg


Bei:hutofautiana kulingana na gauge,pia na upana wa bati

Mabati ya msouth(IT5),(Migongo mipana)

-upana wa 107cm na 98cm

gauge28 ni 37,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 33,360/piece ya 3meter/10ft
.....,......................................
It5-upana wa 87cm

gauge28 ni 28,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft

gauge30 ni 25,500/piece ya urefu wa 3meter/10ft
...........................................

Call 0656-816616,0766-004940 kwa maelezo zaidi
 
Bati za Dragoni mnazo?

Sent from my EVA-L19 using JamiiForums mobile app
 
Alaf pekee ndio kampuni bora km iphone usidanganywe
Utaendelea kuwa mjinga hivyo hivyo kwa kuwa ujinga wako wa brand usiuweke kwa watu wengine wanatafuta elimu
Nini kipimo cha ubora kisa unatumia iphone au unatumia bati la kiwanda flani.huo umasikini wa mawazo ata kama umeenda shule haijakusaidia ww na jamii yakoo maana ata shule wanafudisha ubora wa kitu upo kwa mtu so ww ujinga na uchizi wako kwa iphone ni ubora kwako ndio maana familia yako yote haitumiii iphone kwao sio bora huo ni ulimbukeni
Ata tukikupa mda kuelezea ubora wa iphone hutoweza,kama haikai na charge kama smartphone nyingine,charger zake zinasumbua yaani ww ubora unalinganisha na ufaharai luxruy goods,jifunze acha ulimbukebi wa mawazo mgando
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom