Kinga kingdom
JF-Expert Member
- Jan 11, 2017
- 769
- 847
Habari Wakuu!!!!
Nahitaji gari used aina ya raum Au noah,bajeti yangu ni 5 cash mkononi.
Najua hela yangu yaweza kuwa ndogo ila kwa mtu mwenye uhitaji wa hela Nadhani anaweza kuuza alichonacho ili atatue tatizo fulani so wale wapondaji wa JF kuwa hela ni ndogo au utauziwa spana mkononi siwahitaji.
Una gari njoo pm tufanye biashara.
Sent from my A37f using JamiiForums mobile app