Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau, Wana Vitendo SACCOS wote na wote ambao bado hawajajiunga na Vitendo SACCOS... Tunafuraha kuchukua fursa hii ya kuwakaribisha na kuwaalika nyote kuhudhuria mkutano wetu wa kawaida wa...
3 Reactions
18 Replies
4K Views
Nahitaji mwalimu wa tuition wa Masomo ya A - level Adv.maths, Geography na Economics.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Nyumba inapangishwa iko Morogoro,kihonda magorofani karibu na St.Fransis seminary,Ina vyumba Vitatu,Master Moja na vyumba vingine viwili.Ina public toilet,kitchen na sitting room Pia Ina fance na...
0 Reactions
3 Replies
854 Views
habari wanajamvi, naweza kupata maelezo na sehemu ambapo ntaweza kupata utaalam wa kufungiwa tracker kwenye chombo cha usafiri kama pikipiki au bajaj kwa ajili ya kujua ilipo na kuona mienendo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
TOYOTA LITEACE NOAH Noah SR40 2000 M EXTRA OPTIONS :AFTERMARKET ALLOY WHEELS 15" Automatic gear/Aircondition/radio system petrol engine model 1999 TOYOTA PASSO Anti-Lock Brakes / Driver Airbag...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari za leo ndugu mr.busin£ss supplier Tunajihusisha na usambazaji wa dagaa wa kukaangwa kutoka ziwa victoria (mwanza) kwa bei nafuu kabisa ni dagaa safi wasio na mchanga ni watamu sana...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
mimi ni mkulima mdogo mdogo nafanyia shughuri zangu za kilimo mkoan Morogoro wilaya ya Mvomelo maeneo ya manungu tulian (karibu na kiwanda cha Mtibwa suger), nimelima mpunga heka sita (6) na...
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Wadau natafuta mteja wa nissan patrol model ya 1991 enjini ya gari ni kama mpya maana haijatumika sana wala haijawahi kufunguliwa kabisabu ina km 152,650 tatizo lake ni body tu imechoka kdg ila...
0 Reactions
31 Replies
7K Views
Outdated post
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Tanzania ya viwanda ni ya kusadikika kwa ukatikaji wa umeme ulivyoshamili nchini Mwenye kuuza jenereta ya KVA 4 mpaka 6 awasiliane.ninusuru kiwanda changu cha vyerehani vinne in box plz.
1 Reactions
1 Replies
724 Views
Simu imetumika miezi miwili tu njoo ukague simu ujiridhishe ndo ulipie,hakuna pini hakuna urembo ukiiona utaipenda mwenyewe,ukikuta ina kasoro nakupa nauli yako ya kukusimbua Bei ni 120,000
1 Reactions
4 Replies
780 Views
Kwa yeyote aliye na simu tajwa hapo juu na anaiuza naomba anicheck inbox na unipe bei tafadhali napatikana Dar.
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Ipo katika hali nzuri na ina mzunguko mzuri Haijawai kutumika Tz tokea iingizwe tokea ng’ambo. Bei 12 mil. Kuiona piga simu 0784225000
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari? Acha kutumia perfumes fake na ujipatie perfumes za viwango kwa bei chee baada ya duka zilizokua zinauzwa kufungwa. Unaweza ukazihakikisha kama original kwa kutumia simu yako,utadownload...
4 Reactions
116 Replies
19K Views
Habari bangudu na jamaa.Nataka kuanza biashara ya kuuza juice inayotokana miwa hivyo nahitaji mashine.Lakini pia naomba na ushauri wa kitaalamu na uzoefu wa biashara katika nyanja za 1)Aina ya...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari wakuu nauza simu tajwa,hiz ni baadh tu ya sifa zake Haina tatizo lolote,ni L8 Lite 5-Inch IPS (1GB Ram, 16GB ROM) Android 6.0 Marshmallow, 8MP real camera+ 2MP front camera, ina support...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Wakuu Wasalaam, Napenda kuwajulisha kuwa tarehe 20 mwezi huu naanza tena kusuply kuku wa kienyeji kutokea dodoma kwa mikoa ya Morogoro na Dar es salaam Uwezo wangu wa kusuply kwa wiki itakuwa ni...
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Natafuta king'amuzi aina yoyote kwa anaeuza maeneo ya Mwanza anichek 0711530251
1 Reactions
1 Replies
906 Views
Wakuu! Kama kuna mtu ana Transportation Company tunaweza kufanya biashara. Kuna mzigo unatakiwa kupelekwa Lusaka, ni Furnitures&Building Materials. 40 feet Container 26 Tonnes each Container 20...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…