Dagaa walio kaangwa kutoka mwanza

ayman makoye

ayman makoye

Member
Joined
Jan 3, 2017
Messages
15
Likes
3
Points
5
ayman makoye

ayman makoye

Member
Joined Jan 3, 2017
15 3 5
Habari za leo ndugu mr.busin£ss supplier
Tunajihusisha na usambazaji wa dagaa wa kukaangwa kutoka ziwa victoria (mwanza) kwa bei nafuu kabisa ni dagaa safi wasio na mchanga ni watamu sana (Wanalika bila viungo vingine) wana uwezo wa kukaa mda mrefu bila kuharibika wamefanyiwa packaging katika mazingira safi na salama pakiti moja inauzwa sh 2000/=
0716865460/0763571013
We offER fRe£ deliVERy
 
ayman makoye

ayman makoye

Member
Joined
Jan 3, 2017
Messages
15
Likes
3
Points
5
ayman makoye

ayman makoye

Member
Joined Jan 3, 2017
15 3 5
HABARI ZA LEO NDUGU mR.busin£sS SUPPLIER
Tunajihusisha na usambazaji wa Dagaa wa kukaangwa kutoka ziwa victoria (mwanza) kwa bei nafuu kabisa....
Ni dagaa safi wasio na mchanga....

Ni watamu sana (Wanalika bila viungo vingine)....

Wana uwezo wa kukaa mda mrefu bila kuharibika....

Wamefanyiwa packaging katika mazingira safi na salama.....
Pakiti moja inauzwa sh 2000/=

132926a8308f9df41eb6f1356d7622ad.jpg
 
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Messages
532
Likes
792
Points
180
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined May 30, 2017
532 792 180
mkuu unaweza nitumia mkoani kama inawezekana niambie
 
ayman makoye

ayman makoye

Member
Joined
Jan 3, 2017
Messages
15
Likes
3
Points
5
ayman makoye

ayman makoye

Member
Joined Jan 3, 2017
15 3 5
Mikoan tuna Tuma,Kwa wenye kuhtaj nich watsAp 0716865460
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
9,596
Likes
8,301
Points
280
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
9,596 8,301 280
Jitahidi kutofautisha E na £ usiweke urembo kwenye vitu vya siriazi.
 
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Messages
532
Likes
792
Points
180
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined May 30, 2017
532 792 180
Tupo mwanza,pia kwa wale wenyekuhitaj mzigo mkubwa mikoan tunatuma
unaposema mzigo mkubwa unakatisha tamaa wateja wako,nitaka wakukaushwa kilo shilingi ngapi ili nijue Nahitaji kilo ngapi
 
ayman makoye

ayman makoye

Member
Joined
Jan 3, 2017
Messages
15
Likes
3
Points
5
ayman makoye

ayman makoye

Member
Joined Jan 3, 2017
15 3 5
So inateghemea ss ,utakuwa unahtaj pakit ngp ili uweze kutumiwa
 
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Messages
532
Likes
792
Points
180
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined May 30, 2017
532 792 180
mimi nahitaji pakiti 10 waliobanikwa na 5 wamafuta
 
espy

espy

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
48,506
Likes
59,206
Points
280
espy

espy

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
48,506 59,206 280
Inateghemea na ww mwenyewe ss uhtaji wako,Si tuna tuma kwa kuangaria order ulyo toa
Toa majibu yakueleweka kuwa kuanzia mzigo wa pkt kadhaa ndio tunatuma. Sasa unajibu inategemeana wakati ushasema mnatuma mzigo mkubwa tu na haujaspecify huo mzigo mkubwa ni kiasi gani!!!
 
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Messages
532
Likes
792
Points
180
ancillary

ancillary

JF-Expert Member
Joined May 30, 2017
532 792 180
Toa majibu yakueleweka kuwa kuanzia mzigo wa pkt kadhaa ndio tunatuma. Sasa unajibu inategemeana wakati ushasema mnatuma mzigo mkubwa tu na haujaspecify huo mzigo mkubwa ni kiasi gani!!!
kweli mkuu ,halafu yupo mwanza sasa sie tunaoishi kibiti kweli ataweza kututumia
 
espy

espy

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2013
Messages
48,506
Likes
59,206
Points
280
espy

espy

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2013
48,506 59,206 280
kweli mkuu ,halafu yupo mwanza sasa sie tunaoishi kibiti kweli ataweza kututumia
Marketing kibongo bongo bado sanaaaa, mtu anatoa tangazo ambalo bado lina maswali kibao, na ukiuliza majibu yanatolewa utafikiri mtu anatania tu hayupo seious na biashara.
 
fablo can

fablo can

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2016
Messages
1,227
Likes
1,257
Points
280
fablo can

fablo can

JF-Expert Member
Joined May 25, 2016
1,227 1,257 280
Habari za leo ndugu mr.busin£ss supplier
Tunajihusisha na usambazaji wa dagaa wa kukaangwa kutoka ziwa victoria (mwanza) kwa bei nafuu kabisa ni dagaa safi wasio na mchanga ni watamu sana (Wanalika bila viungo vingine) wana uwezo wa kukaa mda mrefu bila kuharibika wamefanyiwa packaging katika mazingira safi na salama pakiti moja inauzwa sh 2000/=
0716865460/0763571013
We offER fRe£ deliVERy
Nipo mtwara nahitaji packti moja nile mchana huu
 
Forum statistics

Threads 1,213,496
Members 462,160
Posts 28,480,042