Vifaa kwa ya biashara ya mgahawa vinauzwa.

Vifaa kwa ya biashara ya mgahawa vinauzwa.

Bei maelewano ndio pesa ngapi
Weka picha watu wavutiwe mtu akupigie na hafahamu bidhaa kwa picha?
 
Ngoja waje

Usisahau na Picha

Sent from my IPhone 8+ using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana JF, ninauza vifaa kwa ajili ya biashara ya mgahawa, bei ni maelewano. Vifaa hivyo ni fridge kubwa ya Samsung, viti vya kisasa 10 na meza zake 4, kabati la kioo, meza tatu kubwa na ndogo mbili, makasha(kreti) manne ya soda, majiko, vyombo mbalimbali(sufuria,chupa za chai, vikombe n.k), feni ya juu.
Pia fremu(chumba cha biashara) ipo na nimelipia mpaka January 2018, fremu ipo Tegeta Kibaoni opposite na jengo la Tegeta Complex. Unaweza kununua vitu tu au vitu na fremu na nikakuachia kwa maelewano.
Sababu ya kuuza ni mimi kuhamia mkoani kikazi, hivyo management imenishinda.
Mawasiliano: 0759095993
Karibuni sana wadau, ushauri wa hiyo biashara ntakupa bure.
Tegeta Complex ndo wapi mkuu?
 
Mkuu ungefanya makadirio ya total cost ya vitu vyote ukaiweka hapa watu wapime na budget zao, pia hii itasaidia kwa atakaehitaj vitu vyote kwa ujumla wake
 
Ungepiga picha items moja moja zile muhimu uweke na bei zake.
 
weka bei
1]ya vitu vyote
2]vitu vyote plus frame

baada ya hapo ndio mtu atajua ananegotiate nini!
 
Tuma picha za vyombo na location ya business Nina interest navyo
 
Mkuu upo serious kweli unauza?

Tangazo lako umebandika masaa kadhaa yameisha watu wameomba picha umekauka tu

Ili tangazo likamilike lazima kuwa na picha na maelezo ya kutosha kuhusu hiyo fremu ipo sehe gani hasa? Jesehemu hiyo ni nzuri au mbovu kwa biashara? Vyakula au vitu gani hasa vinalika?

Ukishafanya hayo utakuwa umerahisisha maswali ya hovyo hovyo humu ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom