Zipo tani tatu za tangawizi natafuta soko kubwa ambapo zinaweza kutoka zote haswa viwandani au masoko makubwa wanaochukua nyingi nyingi.
Mzigo umeshatoka shambani tayari umeingia mjini.
Karibu sana
Kiwanja kinauzwa pamoja na nyumba kiwanja kinauzwa kikiwa na nyumba GEITA njini kwa bei nafuu. pia kama utaitaji viwanja ama nyumba katika mikoa ifuatayo nijulishe
BUKOBA
MWANZA
MUSOMA
MARA...
Hey,mambo vp wana jamii forum?
Natumai mu wazima kabisa, ombi langu kwenu kwa anaefahamu bei ya tangawizi sokoni kwa kilo naomba anipe price tafadhari na kama kuna anayefahamu soko la tangawiz kwa...
Asee nina mil 1 ninahitaji piki piki used(isizidi mwaka mmoja toka inunuliwe na iwe haijaguswa injini)ya kutembelea mwenye nayo anipe namba tuwasiliane!
PATA SERIES NZURI KWA BEI SAWA NA BUREE..................SEASON KAMA INHUMAN,THE GIFTED,DESIGNATED SURVIVOR 1&2, na nyingine nyingii nichek kwa 0658714777, or airtel 0692442335
Habari wakuu.
Naomba kujuzwa sites nzuri kwa ajili ya kununua viatu mtandaoni na pia kujua namba za viatu za nchi yetu ukilinganisha na namba za mataifa mengine....
Inaonekana mataifa tofauti...
Ng'ombe wa maziwa wanaotoa lita 17 hadi 20 aina ya Ayrshire na Freysian. Wenye mimba kati ya miezi 4 hadi 8. Bei 2.2 mil. Ng'ombe wanapatikana karibu na Mawasiliano(Sam Nujoma) Dar es salaam...
Habari wa jamii, nataka kununua kiwanja na ndio mara yangu ya kwanza na nilikuwa naomba kwa wenye uzoefu wa biashara izo wanishaur ni njia zipi naweza kupitia ili nisije jikuta tumeuziwa wawili na...
SAMSUNG SMART TV
FULL HD
LED
USB PORT
HDMI
BIULDER CHANNELS
40"
1,600,000/=
0717-062242
DELIVERY IN DAR NA MIKOANI TUNATUMA PIA
TUPO K.KOO CHINA PLAZA
@nafuuelectronicssupplier.com
habarini wakuu..naamini tu wazima wa afya na tunaendelea kupambana kujikwamua kiuchumi
mimi ni mfugaji kwa muda sasa na pia ni mwanafunzi wa chuo cha sayansi ya afya na tiba- bugando
Ninauza...
Wakuu poleni na majukumu,
Ni wapi hapa dar nitapata mbegu bora za mahindi, nipate na maelezo yake mfano
-Zinachukua muda gani kuota mpaka kuvunwa
-Bei gani kwa kilo
-Zinapandwa ngapi kwa shimo...
Habari wakuu na tumai mko salama..
Naomba niende moja kwamoja kwenye uzi husika..Huu utakua uzi husika kwajili ya wanao nunua na kuuza vitu vyao binafsi..bila kupitia madalali..
Usawa huu vyuma...
Nina shida na processor ya Acer H5360 3D-DLP Projector ambayo unaweza ichomoa kwenye projector ambayo huna matumizi nayo labda ni mbovu iwe na umbo la mstatili na iwe katika Hali nzuri zinaingilia...
Hello Gentleman and ladies,
Natafuta Korosho kwa bei ya jumla please. Nahitaji debe moja tuu ambazo zimeondolewa maganda yake .ni kwa ajili ya matumizi ya nyumbani .
Asanteni sana sana .