Sites nzuri za kununua viatu kwa njia ya mtandao

WAKU-GOOGLE

JF-Expert Member
Jan 20, 2015
950
623
Habari wakuu.

Naomba kujuzwa sites nzuri kwa ajili ya kununua viatu mtandaoni na pia kujua namba za viatu za nchi yetu ukilinganisha na namba za mataifa mengine....
Inaonekana mataifa tofauti hutumia mfumo wa namba za viatu tofauti.

Naomba kujuzwa ndugu zanguni... Mfano mimi navaa kiatu namba 40 je ukilinganisha na namba za viatu china, USA, UK zinautofauti .. nataka nijue namba 40 ya kiatu inaendana na namba zipi za viatu kwa mataifa mengine
 
Back
Top Bottom