uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,789
- 4,459
Zipo tani tatu za tangawizi natafuta soko kubwa ambapo zinaweza kutoka zote haswa viwandani au masoko makubwa wanaochukua nyingi nyingi.
Mzigo umeshatoka shambani tayari umeingia mjini.
Karibu sana
Mzigo umeshatoka shambani tayari umeingia mjini.
Karibu sana