Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nahitaji gari ya Mil 5 mpaka 6 Ningependa Engine size iwe zaidi ya CC 1500 (Yaani 1500 kuPanda juu) Yenye uwezo wa Kwenda safari ndefu. Sihitaji Dalali. Toyota: High Priority Mwenye nayo ani PM.
0 Reactions
49 Replies
10K Views
Niko Mwanza nitapata wapi ndizi mzuzu, masoko mengi nimekosa.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
#VIDEOGRAPHER /PHOTOGRAPHER BINAFSI# Unahitaji Kutunza kumbukumbuka zako Na kushare na Ndugu Jamaa na marafiki zako,Na Unahitaji PICHA NA VIDEO nzuri za kumbumbuku #Tunakupa Videographer &...
0 Reactions
0 Replies
681 Views
Anatafutwa Greenhouse expert DSM Sinza area jitokeze !!
0 Reactions
2 Replies
532 Views
Tunapatikana Arusha, Njiro kwa misosi mizuri hili ndo eneo sahihi kwa mabachelor hata wenye familia. Kwetu mteja ni mfalme na tutahakikisha unaridhika kwa huduma nzuri. Karibuni sana kwa huduma...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Natafuta smart phone iliyotumika ya sh elfu 50. Kama kuna yeyote anauza naomba tuwasiliane inbox au piga 0624022280
0 Reactions
2 Replies
897 Views
Njoo ujichukulie pefyum hii moja iliyobakia kwa bei ya offer. Bei:50,000 tu ORIGINAL FROM USA namba:0788622610 Napatikana dar es salaam kinondoni.
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Fundi umeme majumbani karibu mteja uhudumiwe naitwa Ezekiel kazi yangu ni fundi umeme ninafanya kazi nzuri kwa uaminifu ninahofu ya mungu ninapatikana kwa namba +255654270004 you are welcome for...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kwa wenye uhitaji wa ramani mnakaribishwa 0713870993
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Tunafanya fittings za bomba zote nyumba nzima kwa bei ya makubsliano tupigie 0755 079454 Dar es salaam Mbezi juu 0683 008791 tunakwenda hata nje mikoa
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Unakaa na chaji na tatizo lake ni Burton moja ya ESC imechomoka, being yake ni shilling 280000
0 Reactions
3 Replies
971 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema nahitaji kununua kampuni iliyosajiliwa Brela na iwepo GPSA Kwa mtu yeyote mwenye kampuni anayeuza naomba tuwasiliane PM
0 Reactions
0 Replies
802 Views
3infoweb.com ndo habar ya mjini mjini tengeneza website kwa Bei ndogo.
0 Reactions
0 Replies
686 Views
Wakuu nani amewahi kutangaza fb kwa njia ya ku sponsor na akafanikiwa? Unalipia tangazo kwa njia ya bank....mje msaidie tulio wagen kama inasaidia
0 Reactions
2 Replies
711 Views
HDD 500GB inahutajika. Location Mbeya
0 Reactions
0 Replies
437 Views
Je,ungependa kupata uahauri na miongozo juu ya mambo yafuatayo? 1. Maisha kwa ujumla 2. Matumizi salama ya simu yako na hata kompyuta yako 3. Mapenzi 4. Ikiwa unafanya vibaya katika masomo yako...
2 Reactions
4 Replies
693 Views
[emoji1787][emoji1787][emoji91]
0 Reactions
0 Replies
612 Views
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza course ya afya,, naomba msaada wa PC nzuri kwa ajiri ya kujisomea na unafuu wa bei na pia upatikanaji wake napatikana Kinondoni Dar karibuni na asanteni
0 Reactions
1 Replies
696 Views
Ndugu zanguni nimeona niwaite kando ili tuweze kusaidiana na kuyajenga katika maswahibu haya ya upara. Nawaletea product zifuatazo za mafuta: 1. INDULEKHA HAIR OIL yanasifika kwa kusaidia...
3 Reactions
64 Replies
13K Views
Gari nzuri aina ya Mitsubishi Canter ambayo inafaa kwa shughuli za kubebea mizigo isiyozidi tani 2 inauzwa. Baadhi ya watu hutumia gari kubebea mizigo hasa maeneo ya kariakoo. Gari hii...
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Back
Top Bottom