golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Wakuu poleni na majukumu,
Ni wapi hapa dar nitapata mbegu bora za mahindi, nipate na maelezo yake mfano
-Zinachukua muda gani kuota mpaka kuvunwa
-Bei gani kwa kilo
-Zinapandwa ngapi kwa shimo
Asanteni sana
Ni wapi hapa dar nitapata mbegu bora za mahindi, nipate na maelezo yake mfano
-Zinachukua muda gani kuota mpaka kuvunwa
-Bei gani kwa kilo
-Zinapandwa ngapi kwa shimo
Asanteni sana