Nauza mahindi bei poa

Nauza mahindi bei poa

plasido divi

Member
Joined
Feb 1, 2015
Posts
90
Reaction score
21
Kwa anae hihaji mahindi nina gunia 50 na kila gunia ni shilingi 50000 tu napatikana Arusha kisongo kwa mawasiliano piga 0759547047
 
Hivi gunia moja linatoa unga kilo ngapi??
 
Uzito si uleule wa mahindi, unategemea gunia la kilo 100 litoe unga wa kilo 120..?!!
MKUU, lazima upungue. ..bdo mana nimeuliza...yani ukichukua gunia moja la maindi ukakoboa then kusaga,unapata kilo ngapi ya unga...

Nadhani hukunielewa
 
MKUU, lazima upungue. ..bdo mana nimeuliza...yani ukichukua gunia moja la maindi ukakoboa then kusaga,unapata kilo ngapi ya unga...

Nadhani hukunielewa

Matter can neither be created nor destroyed..
 
Back
Top Bottom