Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Ndugu wana JF habari zenu? niende mojakwamoja kwenye mada natafuta muokaji (baker) ili tufanye kazi pamoja.
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Ndugu Wana Jamii forums! Ninaomba msaada kwa yeyote yule anayeishi Canada au nje ya Canada anayemfahamu Ndugu anayefahamika kwa jina la TOSH au Daniel Musisi na anajua namba yake ya simu,Anuani...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za mida hii. Natafuta simu tajwa hapo juu Samsung Galaxy e7 rangi iwe black, hata iwe imetumika kwa muda gani ni sawa tu ila cha msingi iwe ni black. Contact 0754995752
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu, Rejea kichwa cha habari. Naomba kwa aliye nayo na anauza au anayejua wapi naweza kupata anijuze,hapa jukwaani au PM. Asanteni.
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Ram 2gb hdd 160 gb wifi bluetooth web cam betre 4 hrs window 7 0621612009 255000
0 Reactions
3 Replies
774 Views
80" great for cinematic camera movement Bei: tsh. 350,000/= Call/txt/wasap: 0765961152
0 Reactions
0 Replies
493 Views
Nataka kununua kampuni iliyosajiliwa BRELA na ipo kwenye GPSA Tafadhali tuwasiliane pm
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Wanajamvi naomba kuuliza, Eti maduka ya tecno service Dodoma mjini yanapatikana maeneo gani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Suzuki swift nauza kwa bei ya million saba na laki tano tu. Karibuni piga namba hiii kwa maelezo zaidi 0718476238
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi guys.anyone who is interested with leaching project anaweza ni PM
0 Reactions
6 Replies
925 Views
Tunadeal na kutoa google account au FRP lock pia network lock kama simu yako inatumia aina moja ya mtandao pia tunarepair network tunatoa virus kwa zile simu ambazo zinajidownload program na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habarini za asubuhi wanajamvi, ni matumaini yangu nyote mmeamka salama. Bila kuwachosha ningependa kuomba msaada kwa mtu yoyote anayefahamu sehemu ambayo wananunua na kuuza vitu used vya...
0 Reactions
2 Replies
998 Views
Ili usisumbuke tena, simu yako isijae kwa app nyingi hadi ianze kuwa slow, App hii apa!, ni mwisho wa matatizo, utapata 1.Blogu zote, 2.Redio Zote ,3. Tovuti zote kubwa 4.Mitandao ya kijamii...
0 Reactions
1 Replies
880 Views
Husika na kichwa hapo juu, Mimi ni mwanafunz mwaka wa kwanza,naishi geto,,sasa mwenye Godoro safi(nimelenga wanaomaliza chuo) anichek direct,Bajet njoo tuyajenge, 0659319763 0625697394.
0 Reactions
2 Replies
765 Views
Naitwa Shaban Rajab kutokea Tegeta Madale ninauza mayai ya kienyeji kwa bei ya 14,000/= kwa tray. Kwa mawasiliano zaidi tuwasiliane kwa namba 0769345032 au 0754250816 ahsanteni
0 Reactions
25 Replies
6K Views
Habari zenu??nauza simu ya tochi used haina ufa elfu 35 ina camera ni halotel,kama upo tayari ni pm. pia nauza screen touch ni itel used elfu 50 kama upo tayari ni pm.
3 Reactions
68 Replies
7K Views
Kwa masaa machache bitcoin cash imepanda kwa asilimia zaidi ya 40%. Kwa wale wanainvest kwenye cryptocurrencies, Christmas has come early for them!!
1 Reactions
1 Replies
859 Views
Naombeni msaada wa mawazo kwa cmnzuri kwa budjet ya 250000 ,yenye ubora ,uimara na camera nzuri.
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Kama kichwa cha habari kilivyo jieleza naomba kujua bei ya mashine kubwa kwaajili ya kufyatulia matofali ya cement.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Tunanunua asali kwa bei ya jumla sisi ni wanunuzi tunaonunua asali kwa bei nzuri sana kuliko wengine wote tanzania. Kwa sasa tunanunua kuanzia lita ishirini mpaka lita mia moja kwa mkupuo vijana...
1 Reactions
4 Replies
11K Views
Back
Top Bottom