Kuna tender nataka niombe sehemu sasa nkisajili yangu sasa hivi haiwezi kuingia GPSA mpk mwaka ujao wa serikali nitakosa hii kaziKwa nini usisajili yako, hiyo ya kununua inaweza kuwa na madeni ya Annual Returns nk , ni ushauri tu!
Haya Dr Luis baada ya mnada naona umehamia jamii forumNataka kununua kampuni iliyosajiliwa BRELA na ipo kwenye GPSA
Tafadhali tuwasiliane pm
Mkuu kampuni ambazo ziko Gpsa Kuna category kwa mfano yangu ipo Gpsa ILA category ya Elevator na escalator maintenance mkoa wa Dar es salaam, siruhusiwi kufanya kazi tofauti na niliiyoiomba, ungeweka category yako unayohitaji ingekuwa rahisi kidogo kukusaidia. Kwa maelezo zaidi +255 714 434 190Nataka kununua kampuni iliyosajiliwa BRELA na ipo kwenye GPSA
Tafadhali tuwasiliane pm
Mkuu kampuni ambazo ziko Gpsa Kuna category kwa mfano yangu ipo Gpsa ILA category ya Elevator na escalator maintenance mkoa wa Dar es salaam, siruhusiwi kufanya kazi tofauti na niliiyoiomba, ungeweka category yako unayohitaji ingekuwa rahisi kidogo kukusaidia. Kwa maelezo zaidi +255 714 434 190