JF kwa maendeleo.
Jamaa leo nimekuja na kichwa hicho cha habari.
jamani ambae anaweza kunipa taarifa kuliko na soko la asali nitamshukuru.
akiainisha bei japo kwa lita 1 itakua poa sana.
Mikoa ya...
Umewahi kuagiza au kutaka kuagiza bidhaa kutoka mitandaoni kama Amazon, Ebay au Aliexpress lakini muuzaji (seller) hasafirishi kuja Tanzania?
Suluhisho ni sasa,
Tuna nunua na kusafirisha mizigo...
Habari wanaJF
Kuna mzee ana shamba anahitaji mtu wa kushirikiana nae kulima (Mtu huyo ataweka mtaji), mzee atatoa shamba. Shamba hilo lina kisima in case mvua ikikosekana.
Shamba liko Bagamoyo...
Ninauza betry ya Detector model Gpx 4800, 5000 . BETRY NI MPYA NILIAGIZA AUSTRALIA BAHATI MBAYA DETECTOR YENYEWE IMEIBIWA KABLA SIJAPOKEA BETRI, HIVYO IMEFIKA SINA MATUMIZI NAYO BEI YAKE NI TSHS...
Free Airflow about: 4m³/min (cubic Meter per minute) or 140 cfm (cubic feet per minute)
A little bit less is also ok, more is also good
Screw air unit
3-4 piston engine
Mwenye nayo...
Habari wana jf,naomba kujuzwa bei ya matenki ya kuhifadhia maji iwe bei ya polytank,simtank au kiboko ujazo iwe lita 1000 na 2000 naomba kujuzwa kwa wale wanaofahamu jamani
Ndugu Wana Jamii forums!
Ninaomba msaada kwa yeyote yule anayeishi Canada au nje ya Canada anayemfahamu Ndugu anayefahamika kwa jina la TOSH au Daniel Musisi na anajua namba yake ya simu,Anuani...
Habari za mida hii.
Natafuta simu tajwa hapo juu Samsung Galaxy e7 rangi iwe black, hata iwe imetumika kwa muda gani ni sawa tu ila cha msingi iwe ni black.
Contact 0754995752
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.