Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Samsung Galaxy S4 New condition GB 32 With 4G Bei 280,000 Phone with charger Serious buyer 0654766056
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa ipo mbagara charambe,ina vyumba vitatu vya kulala pamoja na sebule dining na jiko.iko ndani ya fence.bei millioni arobaini na mbili tu.
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hii ni maalum kwa anae hitaji milango ya nyumba hasa kwa dar es salaam, weka order yako mlango mmoja tsh 450k pia bei hutofautiana kulingana na size ya mlango wenyewe na aina ya mbao mfano...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wakuu natafuta eneo maeneo ya Ngongongale Arusha kule karibu na chuo cha UOA.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Unahitaji Ramani ya Nyumba yeyote ile kwa Gharama Nafuu? Basi Suluhisho Lipo, tunadesign Ramani Bora Official Kwa Gharama Nafuu Kabisa! Tunachora kwa AutoCAD na ArchCad. Ramani yako itakuwa na...
1 Reactions
0 Replies
582 Views
Ramani za nyumba za kawaida na maghorofa,ramani za nyumba za kawaida sasa ni 250,000- 300,000 kama inakuwa na mabanda ya nyuma(servant quarter) inakuwa ni sh 350,000. Ramani za ghorofa moja ni...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Toshiba satellite 160GB storage, 1GB RAM, Duo core processor clock @ 1.7GHz Wireless (Bluetooth) speaker with auxile input with strong base sound Punguzo kubwa lipo pia Location: Arusha Contact...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi ni mwanachuo mwaka wa kwanza course ya afya, nahitaji msaada wa PC nzuri kwa ajili ya kujisomea na yenye bei nafuu na kwa yeyote anayeweza nisaidia upatikanaji wake, Napatikana Kinondoni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
tigopesa 165000 mpesa 175000 airtel money 95000 zinafanya mkoa wowote na zipo tayari kufanya kazi 0621612009
0 Reactions
5 Replies
925 Views
FAT RUDUCING GRILL MAFUTA KIDOGO CHAKULA KIMEIVA LINATUMIA UMEME 170,000/= TLDELIVERY IPO KWA DAR NA MIKOANI TUNATUMA PIA TUPO K.KOO CHINA PLAZA #0717_062242 #0757_562378 karibuni sana...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
.
0 Reactions
0 Replies
398 Views
*Hp* Haddisk 1000 GB RAM 12GB PROCESSOR 3.5HGZ Touch screen with 19"
1 Reactions
8 Replies
1K Views
nauza samsung A5 16 na S5 tatzo display kwa 250000
0 Reactions
0 Replies
421 Views
Wadau nahitaji Noah ofa yangu milioni 7
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nahitaji earphones nipo arusha Sinunui reja reja nanunua jumla kuanzia piece 5 na kuendelea hivyo nahitaji kWa bei ya punguzo kama unazo dukani na pia ziwe za aina yoyote za bei rahisi kama unazo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Nina laki tatu tyu nataka. PC ya. core i3na RAMU 4GB .....Naweza pata ama kama inapatikana. Please nijuzeni. Wana JF
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari midaa hii wadau wa JF Kwa wale wakazi wa Arusha, natafuta Shamba la kununua kama Heka 3 maeneo ya Mlangarine au Manyire.....Mwenye kujua naomba anipe msaada... Wasalaaam
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu habari Nauza Magari kwa bei nafuu, napatikana dar es salaam Contact: 0787 646442 Price Noah (DLA) Tshs 11.5mil Noah (DCK) Tshs 8.8mil Kluger Tshs 15.8mil Harrier Tshs 25mil...
0 Reactions
10 Replies
12K Views
Habari za jioni wajasiriamalu wenzangu, Naomba kwa wazoefu/wajuvi wanifahamishe gharama za utengenezaji wa sabuni ya unga kama kilo 10 - 20 hivi. Nitashukuru sana wadau
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom