Muwekezaji Wa cooper leaching

D

danny007

Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
57
Likes
18
Points
15
Age
21
D

danny007

Member
Joined Jun 28, 2016
57 18 15
Hi guys.anyone who is interested with leaching project anaweza ni PM
 
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Messages
9,964
Likes
7,146
Points
280
black sniper

black sniper

JF-Expert Member
Joined Dec 10, 2013
9,964 7,146 280
Hiyo process watakuelewa baadhi lakini kama unalenga wenye hela bila hiyo elimu watapita kimya.

Hiyo picha ni wewe
 
D

danny007

Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
57
Likes
18
Points
15
Age
21
D

danny007

Member
Joined Jun 28, 2016
57 18 15
Hi guys.anyone who is interested with leaching project anaweza ni PM
Ni mradi wa kufua copper 99.9 percent
Unahitaji mtaji mkubwa kidogo kwa kuanzia
Unatumia copper ore yenye low percent toka 5% and above unafanya kama video inavyoonyesha
Kwenye chumba cha kawaida unaweza vuna mpaka kg 300 daily za pure copper cathodes 99.9 %
Ukishaingiza mtaji huhitaji fedha tena unavuna kwa miezi 4.5 ndo unaongeza mchanga mwingine na chemical
Unaweza kupanuka unavyotaka. Ukianza na mtaji kama hutautoa unaweza kwensa mpaka tani 10 za copper kwa siku kutokana na mtaji ulioanza wa kg 300 kwa siku.
Ni mradi ambao hauna hasara au hasara ni very minimal na unaweza kurudisha fedha yako uliyowekeza baada ya miezi miwili yaani siku 60 baada ya hapo ukavuna kwa miezi 2.5 iliyobaki katika mzunguko wa kwanza na ukaendelea kupanuka kwa kutumia faida mpaka ukafika unakotaka.
Ni utaalamu mpya kwa Tz ila zambia ni wa muda mrefu
Atakayevutiwa aje inbox kwa maelezo ya ziada Tunao utaalamu wa kutosha tuna leseni za uchimbaji
Tuna maeneo ya uchimbaji tuna eneo la uzalishaji
Tunahitaji mtu mwenye mtaji tuunganike.
 
Ruby Morogoro

Ruby Morogoro

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Messages
161
Likes
80
Points
45
Ruby Morogoro

Ruby Morogoro

Senior Member
Joined Apr 3, 2017
161 80 45
Ni mradi wa kufua copper 99.9 percent
Unahitaji mtaji mkubwa kidogo kwa kuanzia
Unatumia copper ore yenye low percent toka 5% and above unafanya kama video inavyoonyesha
Kwenye chumba cha kawaida unaweza vuna mpaka kg 300 daily za pure copper cathodes 99.9 %
Ukishaingiza mtaji huhitaji fedha tena unavuna kwa miezi 4.5 ndo unaongeza mchanga mwingine na chemical
Unaweza kupanuka unavyotaka. Ukianza na mtaji kama hutautoa unaweza kwensa mpaka tani 10 za copper kwa siku kutokana na mtaji ulioanza wa kg 300 kwa siku.
Ni mradi ambao hauna hasara au hasara ni very minimal na unaweza kurudisha fedha yako uliyowekeza baada ya miezi miwili yaani siku 60 baada ya hapo ukavuna kwa miezi 2.5 iliyobaki katika mzunguko wa kwanza na ukaendelea kupanuka kwa kutumia faida mpaka ukafika unakotaka.
Ni utaalamu mpya kwa Tz ila zambia ni wa muda mrefu
Atakayevutiwa aje inbox kwa maelezo ya ziada Tunao utaalamu wa kutosha tuna leseni za uchimbaji
Tuna maeneo ya uchimbaji tuna eneo la uzalishaji
Tunahitaji mtu mwenye mtaji tuunganike.
Poa, wewe unapatikana wapi? Unaweza nipa namba ya simu? Mie pia nina vitaru vya copper ore na ni mzuri sana kwenye designs za mashines mbalimbali, mechanical parts na controls, kikazi nipo Symbion ila nafuatilia sana industrial minerals. Tafadhali tuwasiliane zaidi tuone tunafanyaje.
NB: sojaona hiyo video hapo?
 
D

danny007

Member
Joined
Jun 28, 2016
Messages
57
Likes
18
Points
15
Age
21
D

danny007

Member
Joined Jun 28, 2016
57 18 15
Poa, wewe unapatikana wapi? Unaweza nipa namba ya simu? Mie pia nina vitaru vya copper ore na ni mzuri sana kwenye designs za mashines mbalimbali, mechanical parts na controls, kikazi nipo Symbion ila nafuatilia sana industrial minerals. Tafadhali tuwasiliane zaidi tuone tunafanyaje.
NB: sojaona hiyo video hapo?
Whatapp no +447937268306
 
Forum statistics

Threads 1,251,536
Members 481,767
Posts 29,775,640