Vipo maeneo ya kiseriani kijiji cha Muungano kilomita chache toka Moshono
Umeme na maji ni vya uhakika vinafaa kujenga
Bei kwa hatua 20/20 ni sh 5,500,000/=
Hatua 20/18 ni sh 4,500,000/=...
Nunua Kiwanja sasa, kilichopimwa na chenye Hati.
Viwanja vipo umballi wa km 15 kutoka Daraja Jipya na km 20 kutoka fery na 4km kutoka Yard ya magari kigamboni.
Viwanja vinaanza na ukubwa wa...
Wadau nauza kiwanja changu kipo Kange Tanga karibia na kwenye nyumba ya jaji,Kiwanja kina hati ya serikali ya kijiji,Nimeshaweka mawe kana trip 4 hivi,Ukubwa wa kiwanja ni futi 45 na 55. Bei sh 7...
Habari natafuta chumba cha kupanga bei kama ilivyoelekezwa hapo kiwe na umeme maji ya karibu pia, maeneo iwe Dsm si nje sana ya mji na pia kiwe karibu na kituo cha daladala au...
Kwa uhitaji wa kuagiza Gari yako ....tutumie SBT Tz , kampuni mama ikiwa SBT Japan.... Ambako Gari zote zinapatikana kwa bei nzuri, nasisi SBT Tz tutafanya process zote hadi wewe kuipata Gari...
Habari wadau..
Nina project naifanya ambayo ina uhitaji wa mikeka ya kukalia watu 200..
Sina uzoefu nayo sana kujua inauzwa sehemu gani na bei yake ikoje kwa kila mmoja..
Nitashukuru sana...
Kuna kampuni moja inatoa huduma ya utumaji wa SMS za jumla. Kwa mfano sms zinazotumwa na benki tofauti kutoa taarifa kuhusu huduma zao hua zinatumwa na makampuni haya. Kampuni hizi zinauwezo wa...
kwa atakae hitaji shamba kwa kilimo cha masika nakodisha,shamba lipo morogoro limetumika upande wa mtoni na upande mwingine linamiti ya kusafisha!! 0744990530
Habari zenu wanajamvi wa MMU, kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo.
Simu haina tatizo kabisa.
Imetumika kwa miezi mitano.
charge yake ipo original.
Bei ni Tsh 250,000/=
Pungufu...
Napenda kuwasilisha kwenu wadau mifumo aina mbili ambayo ipo sokoni hivi sasa
1. School managements system
2. Hospital, pharmacy cashier system.
TUANZE NA SCHOOL INFORMATION SYSTEM...
@nafuuelectronics_supplier
Inasaga na kuchuja kabisa(yenyewe)
inatumia umeme pia ina uwezo wa kutotumia umeme
230,000/=
#0717-062242
#0757-562378
delivery in dar na mikoani tunatuma pia
tupo...
Tunatengeneza logos, kudesign packages za bidhaa mbali mbali, calenders, mabango, banners n.k kwa ajili ya biashara na events
Wasiliana nasi kwa namba 0620775877
Hizi ni baadhi ya kazi zetu
Habari wana jamvi,
Napenda kuwatangazia soko la vifaa vya stationery ambayo nimeifunga muda si mrefu
kuna lamination machine, binding machine na vifaa vinginevyo vingi.
Kwa mwenye interest...
Habari zenu?
Nahitaji nyumba ya kununua, Tanga mjini au maeneo ya jirani.
Sifa za nyumba.
Iwe eneo salama, kusiwe na mafuriko
Umeme na maji yawepo
Nyumba iwe na angalau vyumba vitatu vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.