Kiwanja kinauzwa Kange-Tanga


V

viking

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Messages
1,199
Likes
219
Points
160
Age
52
V

viking

JF-Expert Member
Joined Aug 23, 2012
1,199 219 160
Wadau nauza kiwanja changu kipo Kange Tanga karibia na kwenye nyumba ya jaji,Kiwanja kina hati ya serikali ya kijiji,Nimeshaweka mawe kana trip 4 hivi,Ukubwa wa kiwanja ni futi 45 na 55. Bei sh 7 million maongezi yapo.Niko tayari kwa sensible offer .Phone 0712652110 au text +447939378570
 

Forum statistics

Threads 1,237,958
Members 475,776
Posts 29,307,891