Vyeti vimepotea vina jina la Juma K. Hamis

khalta

Member
Oct 21, 2017
66
123
*tangazo tangazo tangazo*

Vyeti vimepotea vyote vina jina la
JUMA K. HAMISI..

O LEVEL(kihonda sec.),A LEVEL(morogoro sec.), BACHELOR OF SCIENCE IN ACCOUNTING AND FINANCE(ardhi university) . Na cheti cha kuzaliwa.
Maeneo ya dar es salaam ubungo kibo.
Kwa yeyote atakaepata kuona chochote miongon mwa hivyo tafadhari tunaomba awasiliane na namba yoyote miongoni mwa hizi hapa

*0757477178,0718700628,0625672521,0768432820* au toa taarifa kituo chochote cha polisi


*TAFADHARI SHARE NA MAGRUPU MENGINE*
 
Ungeweka hata na ushawishi wa donge nono kwa atakaye fanikisha kuvipata au kupata chochote kati ya ulivyo vieleza
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Back
Top Bottom