Nataka kuagiza mzigo kutoka china, Msaada

Nataka kuagiza mzigo kutoka china, Msaada

mwalex mwale

Member
Joined
Nov 15, 2017
Posts
26
Reaction score
1
Naomba mnisaidie wafanya biashara mnaonunua bidhaa toka China.
Mm ni mfanya biashara wa nguo za kiume na kike natamanibsana kuagiza bidhaa nje ilaa cjafaham namna ya kuagiza na kusafirishaa naombaa msaada kwa anaefaham whatsapp +255718712554
 
  • Thanks
Reactions: ovi
Back
Top Bottom