(URGENTLY) Natafuta Laptop kwaajili ya editing

Kaliro X

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2013
Posts
749
Reaction score
440
Tuwasiliane kama unayo au unafahamu duka lolote la uhakika kwa hapa DSM

Iwe na graphics card ya Nvidia(4GB+)
Ram 8GB au 16GB(recommended)
HDD - 1TB, Iwe na SSD japo 100GB+
Processor core i5/i7 3rd gen or above

Ikiwa mpya ni vyema zaidi. Kama ni used iwe kwenye condition nzuri isiwe na ujanjaujanja.

Njoo WhatsApp 0765961152
 
Muda huu??
 
Mkuu Nenda Tu Mlimani City Game Zipo Nyingi Tu
 
Tuwasiliane kama unayo au unafahamu duka lolote la uhakika kwa hapa DSM

Iwe na graphics card ya Nvidia(4GB+)
Ram 8GB au 16GB(recommended)
HDD - 1TB, Iwe na SSD japo 100GB+
Processor core i5/i7 3rd gen or above

Ikiwa mpya ni vyema zaidi. Kama ni used iwe kwenye condition nzuri isiwe na ujanjaujanja.

Njoo WhatsApp 0765961152
Mm naona unazingua tu. Sema tu laptop yenye specs izo ndo ndoto yako. Maana haiwezekani ukawa hujui maduka ya pc dar. Ar u sure unaomba uelekezw???

By the way andaa mil. 1 kwa ajiki ya pc iyo
 
Sawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom