salome peter
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 379
- 271
Wanajamii wenzangu natafuta gari ndogo ya kununua aina ya Passo au Suzuki Camy yaani gari isiyozidi cc 950.kama kuna mwenye nayo ani pm
Niambie beiPasso achana nayo itakupasua kichwa...bora camy au terrios kid
unatetea yakoPasso achana nayo itakupasua kichwa...bora camy au terrios kid
cc950 si nzuri ni piston 3 alafu kama uanasafiri umbali ni noma itazungua,tafuta cc1290 ambayo ni piston 4,hiyo suzuki camy kwa kibongo ndio ndoa yako ya kikristo kuanzia spea mpaka matunzo.Wanajamii wenzangu natafuta gari ndogo ya kununua aina ya Passo au Suzuki Camy yaani gari isiyozidi cc 950.kama kuna mwenye nayo ani pm
Japo sio mtaalamu WA hyo mambo lkn passo sio gari.vingi tunaona vimelipuka roadView attachment 634147View attachment 634148passo piston 3 mill5View attachment 634150View attachment 634151View attachment 634152cami inauzwa mil 6.5